Ushauri juu ya hii website ya movie niliyoitengeneza

Nimewahi kuskia mkuu baadhi ya nyimbo za wasanii wa kisasa kabla hazijaanza huanza kwanza nafkiri ni tangazo la vodacom linasema kazi ni kwako then wimbo ndio huanza kucheza.

Ndicho unachomaanisha hiki mkuu...?.
NDIO HAYO NDIO MATANGAZO MIMI NINAYO YASEMA
 
Tuongee lugha rahisi hii biashara unayotaka kufanya ni haramu/illegal.

Hauwezi kuweka movie/nyimbo ya mtu yoyote kwenye site yako unless umepata ruhusa ya distribution kutoka kwa copyright owner wa hiyo movie/nyimbo.

Huyo host wa website yako ataifungia account yako as soon as ukianza kusambaza hizo movie.

Akina Netflix wana mikataba ya kuwaruhusu kusambaza movie wanazoonyesha na ndo maana hauwezi kukuta movie mpya kwenye Netflix.
 
asante naomba na mimi nikuulize hao wanao tafasili picha wamepata kibali kutoka kwa wamiliki wa hizo picha?
 
Sijaona hizo movie, wanatafsiri kivipi?
Ila kama unatafsiri kisha unabadilisha ile sauti ndani ya video kisha unasambaza hizo video zilizotafsiliwa hii ni kinyume cha sheria kwa vila hauna haki ya kuibadili hiyo kazi ya mtu na kisha kuisambaza. Sidhani kama kuna movie wanatoa kibali mtu wa nje kutafsiri, wanafanya wenyewe kwa masoko ambayo wanaona yana tija kwao ndo maana kuna official translations za movie kwa Kichina/Kirusi etc.
 
sasa mimi na na hao wanao haribu filamu kwa kiswahili wapi wanamakosa na serikali hipo
 
Halaf, mi nashindwa kuelewa, hivi hawa wanaotoa haya matamko hapa wanatoa matamko haya wao kama nani...?.

Kwa nini wasiache wahusika wakuu wakalisemea hili suala...?.
 
asante KIOO bora useme wewe najua tu hawa wanataka kunikatisha tamaa nisifanikiwe lengo langu
 
Tuongee lugha rahisi hii biashara unayotaka kufanya ni haramu/illegal.

Hauwezi kuweka movie/nyimbo ya mtu yoyote kwenye site yako unless umepata ruhusa ya distribution kutoka kwa copyright owner wa hiyo movie/nyimbo.

Huyo host wa website yako ataifungia account yako as soon as ukianza kusambaza hizo movie.

Akina Netflix wana mikataba ya kuwaruhusu kusambaza movie wanazoonyesha na ndo maana hauwezi kukuta movie mpya kwenye Netflix.
Mpeni Moyo mshkaji Anataka kujikwamua bana sio mnamkatisha tamaa anachofanya ni kuuza movie za nje na anazi tafsiri kiswahili. Tunajua ni Uvunjifu wa sheria ila isiwe ndo kumkatisha tamaa Kwani hata sisi asilimia kubwa ya watanzania Wanaonunua Movie ni wachache,

Wengi Movie mpya ikitoka mnakimbilia Kickass Au Pyrate Bay kupakua Bure tena bila Malipo tukirudi kibongobongo Mnakimbilia Vibanda umiza Kukodi CD.

Nakushauri ndugu Tony Kaza buti na Usikate tamaa mana kama Changamoto hata wale jamaa Wa Pyrate Bay mpaka mahakamani Wameshapelekwa still bado sisi tunashusha Movie na tunafurahia uwepo wao. Ni mara ngapi au ni copy ngapi feki Zinauzwa hapa bongo na bado watu wanapumua!? Sembuse wewe unaweka za nje.. Pig kaz kijana Wazo zuri ukikaa kijiweni bila kazi haohao watakusema pia.. Wakati Ajira wanapewa Wastaafu.
 
Habari JF
Kipindi Kilicho Pita Humu JF Nilikuja na Hoya Juu ya Ushauri Kuhusiana na Website ya Movie Nilio itengeneza, Sasa Website imekamilika Rasmi na iko tayari kimatumizi matengenezo mengine yataendelea pindi inapo tumika, Kupitia Website Hiyo unaweza Kutazama na Kupakua Movie Zilizo Tafasiliwa Kiswahili Bure Kabisa Kwa Kipindi cha wiki 1 Baada ya hapo Utaanza kulipia Kwa Membership.
Sasa wewe Kama mwana- Technology Hebu itazame hii site kisha toa comment zako na kama wewe ni mwana IT waweza nipa ushauri nini Nifanye ili kuiboresha hii site.

ITAZAME WEBSITE YENYEWE KWA KUBONYEZA HAPA
 
Back
Top Bottom