Ushauri juu ya hii website ya movie niliyoitengeneza

Ushauri juu ya hii website ya movie niliyoitengeneza

Ukiweka tu kudownload muvi za watu hiyo website itafungwa na host wako, hauna haki ya kuiza hizo movie.
 
Website iko poa sana yan kama mbele tu, swali ni moja tu, je hizo muvi unampango wa kuwalipa wamiliki wa hizo muvi?
-Bila kuwalipa utakuwa unafanya copyright infringement.
-Bei uliyoweka ni nzuri kwa watu wa kawaida, Je itaendana na bei ya muvi yenyew original(kwa mfano Deadpool $24.4)?

Ahsante.
hapana mkuu wamiliki wafilamu mimi nitakuwa siwalipi bali nitakuwa nawalipa wanaotafasili hizo filamu na bei ya kuangalia filamu ni 5000 kwa wiki au 15,000 kwa mwezi KAZI KWAKO
 
hapana mkuu wamiliki wafilamu mimi nitakuwa siwalipi bali nitakuwa nawalipa wanaotafasili hizo filamu na bei ya kuangalia filamu ni 5000 kwa wiki au 15,000 kwa mwezi KAZI KWAKO
Hapana.. Huwezi kuwalipa watakaotafsiri kama vile wao ndio wamiliki wa hiyo filamu. Kumbuka hata kibali cha kutafsiri filamu kinatolewa na aliyetengeneza hiyo filamu.

Ungeanza na filamu za bongo ingekuwa nzuri sana, kwa kuwa watengenezaji na wamiliki wapo karibu na ni rahisi kuwasiliana nao.

Ila idea yako ni nzuri sana.. Huwezi jua, unaweza kuwa "the NETFLIX of Africa"
 
asante sana
 
COSOTA
BASATA
STEPS

Hao wote wanawewe mkuu ni kosa la Jinai kucopy kuuza kupublish au kukidisha kazi za mtu bila idhini yake.

Pia tayari Kuna Netflix hapa Tanzania wanafanya kama unachofanya wewe
 
habari wwana JF,
hivi majuzi nimekuja na wazo la kutengeneza website ya movie ambazo nitakuwa napost movie zilizo tafasiliwa kiswahili na ambazo hazija tafasiliwa kweli nimefanikiwa nanimeona ili na mimi niwe napata kidogo nataka niweke system ya mtu akitaka ku-download au kutazama movie awe analipia 1000 kwa siku na anatazama movie zote sema hiyo system bado sijaiweka kwani ni ngumu saya kuweka membership plug, sasa nimeileta kwenu wadau ili mnipe ushauri hii website imekaaje na nini niboreshe ili iwe bora zaidi afrika mashariki maana hamina kitu kama ichi na mimi ndio wa kwanza kuitazama website yenyewe BONYEZA HAPA au hapa==>>Muvika Online
NAOMBENI USHAURI WENU WA MAWAZO

Sijaona kitu kipya hapo, na uzuri wanaozungumzia wengine ni ule ambao siuoni.
Leta vitu vipya tuone tuone your designing.
lakini simple simple tu hivi ni ngumu, wakati nipo form two 2011 nilikuwa interested sana na mobile site nikitumia wapka.mobi
Nilikutana na site hii BEdesi.net - Watch new desi movies for free! , kitu ambacho ni kilekile ulichokifanya wewe, na site nyingi za wahindi zipo hivi, kwahiyo reinvent the wheel kabla yakwenda kwenye payment.
njoo na kitu kipya, angalia site kubwa wanavyofanya usiwe inspired na sites zisizo na mantiki.
 
Ndio hivyo, hata Hao wasanii wanaweza wakakataa movie zao zikae kwenye site kama hiyo, hata kama utawalpa gharama Zaid ya waliyotengenezea movie.
lakini kumbuka movie ninazo ziweka si za kibongo ni zile zilizo tafasiliwa kiswahili
 
NDIO fleva.net ni yangu kwani nayenyewe nimeibuni kwani nikipata wadamini nataka niwe nanunua nyimbo na kuzipachika matangazo

Mkuu, hapo kwenye red unaweza kunifafanulia kidogo kiongozi kama sjakupata hivi mkuu...?.

Thank You.
 
Hapana.. Huwezi kuwalipa watakaotafsiri kama vile wao ndio wamiliki wa hiyo filamu. Kumbuka hata kibali cha kutafsiri filamu kinatolewa na aliyetengeneza hiyo filamu.

Ungeanza na filamu za bongo ingekuwa nzuri sana, kwa kuwa watengenezaji na wamiliki wapo karibu na ni rahisi kuwasiliana nao.

Ila idea yako ni nzuri sana.. Huwezi jua, unaweza kuwa "the NETFLIX of Africa"

Uzungu Uzunguni mkuu...!.
 
COSOTA
BASATA
STEPS

Tumeona na kushuhudia wasanii wetu wakilia muda mref kuibiwa kazi zao kuna suluhisho lolote COSOTA AU BASATA wametoa juu ya uharamia huo...?. Leo hii waje kukamata mtu ana-deal na kazi za wasanii wa marekani huko mkuu inaingia akilini kweli, kesi itaenda vipi mkuu...?.

Hao wote wanawewe mkuu ni kosa la Jinai kucopy kuuza kupublish au kukidisha kazi za mtu bila idhini yake.

Pia tayari Kuna Netflix hapa Tanzania wanafanya kama unachofanya wewe

Hawa netflix wana site inafanya kama anavyofanya ndugu yetu unamaanisha kuwa nao wana site inayotafsiri movie kwa kiswahili mkuu...?.
 
Tumeona na kushuhudia wasanii wetu wakilia muda mref kuibiwa kazi zao kuna suluhisho lolote COSOTA AU BASATA wametoa juu ya uharamia huo...?. Leo hii waje kukamata mtu ana-deal na kazi za wasanii wa marekani huko mkuu inaingia akilini kweli, kesi itaenda vipi mkuu...?.

Hawa netflix wana site inafanya kama anavyofanya ndugu yetu unamaanisha kuwa nao wana site inayotafsiri movie kwa kiswahili mkuu...?.

Mkuu hata uwe mziki wa nje au wa ndani movie kitabu etc as long as kipo copyrighted ni kosa la jinai kuipublish without owner's concern.....
 
Mkuu hata uwe mziki wa nje au wa ndani movie kitabu etc as long as kipo copyrighted ni kosa la jinai kuipublish without owner's concern.....

Najua kuwa ni kosa kisheria mkuu lakini sijui kama umeyaelewa vizuri maelezo yangu mkuu...?.

Narudia tena japo kwa muhtasari, tumeona na kushuhudia kuwa wasanii wetu wakilia kila uchao kuhusu kazi zao kutumiwa kinyume na sheria watu wakijinufaisha kupitia kazi za wasanii wetu wa nyumbani je, hivyo vyombo ulivyovitaja hapo juu vimeweza kusaidia kitu gani mpaka sasa kwa wingi na lundo za kazi za wasanii wanalia kila siku kuna suluhisho lolote lililochukuliwa kuhusiana na uharamia huo mpaka leo hii waje kumkamata mtu anayeweka video za wasanii wa marekani aje kukamatwa na COSOTA AU BASATA na waache kukamata wezi wanaowaibia wasanii wetu hapa nyumbani, hili linaingia akilini kiuhalisia mkuu tujaribu kuacha kujibu kwa ushabiki tujibu kimantiki tu mkuu, na je, kesi hiyo itaendeshwa kukiwa na mlalamikaji ambaye ni nani hasa...?.

Na hawa steps wanahusikaje na kazi za wasanii wa marekani mkuu...?.

Pia nikauliza, netflix wanasite kama ya jamas hapo kuwa na wao wanaweka movie zilizotafsiriwa kama site ya jamaa anavyofanya...?. Coz nimeona ikisemwa kuwa hata netflix nao hufanya kama anavyofanya jamaa, naomba maelezo ya kujiridhisha juu ya maswali yangu hapo juu mkuu.

Baada ya hapo tutaendelea tena kutaka kujuzana uhalisia wa mazingira ya kazi za wasanii na wasanii wenyewe kwa ujumla.

Nadhani ntakuwa nimeeleweka vizuri au labda mi ndio sijakuelewa ulivyojibu mkuu, naomba uhalali wa kuhoji kwa kile utakachojibu mkuu.

Natanguliza shukran zangu za dhati kwako kiongozi.

KARIBU.
 
Mkuu, hapo kwenye red unaweza kunifafanulia kidogo kiongozi kama sjakupata hivi mkuu...?.

Thank You.
yah kwa sasa niko katika kipindi cha kutafuta watu watakao tangaza biashara zao nami yaani ndani ya mizki na mimi hiyo site siifanyi kama ilivyo mkito HAPANA mimi nataka nije na style yangu binafsi ya kuwa nanunua nyimbo za wasanii (bei zinatofautina) na nikinunua nyimbo nakuwa nazipachika yale matangazo ya wadhamini UMEELEWA
 
Bado sijakuelewa mkuu. Sjui ntakuelewa kwa kweli yani matangazo ya wadhamini unayapachika kwenye nyimbo za wasanii/miziki yao dah. Sjakupata mkuu sjui tuishie tu hapo mi nakutakia kila la heri kwa wazo lako hili mkuu.

Safi kiongozi kwa kuthubutu.
 
kwani uja sikia miziki mingi za siku hizi zin anza na tangazo mfano la vodacom au Nmb ndio mziki una anza
 
kwani uja sikia miziki mingi za siku hizi zin anza na tangazo mfano la vodacom au Nmb ndio mziki una anza

Nimewahi kuskia mkuu baadhi ya nyimbo za wasanii wa kisasa kabla hazijaanza huanza kwanza nafkiri ni tangazo la vodacom linasema kazi ni kwako then wimbo ndio huanza kucheza.

Ndicho unachomaanisha hiki mkuu...?.
 
Back
Top Bottom