Ushauri juu ya hii website ya movie niliyoitengeneza

HONGERA ILA NI KAMA SIJAONA SEARCH BOX VINGINEVYO KEEP IT UP .BRAVO.

Ndugu, unaulizia search ipi hiyo ?.

ffaf8789afe9ba95b0c65125a2efe239.jpg
 
Habari JF
Kipindi Kilicho Pita Humu JF Nilikuja na Hoya Juu ya Ushauri Kuhusiana na Website ya Movie Nilio itengeneza, Sasa Website imekamilika Rasmi na iko tayari kimatumizi matengenezo mengine yataendelea pindi inapo tumika, Kupitia Website Hiyo unaweza Kutazama na Kupakua Movie Zilizo Tafasiliwa Kiswahili Bure Kabisa Kwa Kipindi cha wiki 1 Baada ya hapo Utaanza kulipia Kwa Membership.
Sasa wewe Kama mwana- Technology Hebu itazame hii site kisha toa comment zako na kama wewe ni mwana IT waweza nipa ushauri nini Nifanye ili kuiboresha hii site.

ITAZAME WEBSITE YENYEWE KWA KUBONYEZA HAPA
Vipi una App yake ya hiyo muvika?
 
Hao wengine watoe tu hawajui kitu ila vipi unawakipa wenyewe waliotafsiri?
ndio kaka kipindi hichi ndio tupo kwenye maelewano tukimaliza tu makubaliana tuna ibadilisha site kuwa katika mfumo wa kulipia kwa wiki au mwezi
 
Hongera sana. Wazo lako zuri sanaa Naamini utafika mbali. Ila pia ninge kushauri upate mawazo ya kisheria kuhusiana na kazi za watu usije kuingia matatani. Kazi nyingi hapo zina copyright na kuwa online its means your globaly watched.
 
sawa kiongozi
 
Back
Top Bottom