Ushauri Juu ya Hatima ya maisha yangu

Dr wa Kaliua

JF-Expert Member
Sep 20, 2020
1,636
3,807
Habari JF,

Kwa unyenyekevu mkubwa Nipo mbele yenu kuomba ushauri juu ya hili suala la Mimi na mpenzi Wangu.

Kwa upande wangu iko hivi.
Ninaishi na msichana ambae tupo kwenye uhusiano almost miezi 10 Sasa.

Kiukweli huyu manzi ananikubali sana, na Mimi pia namkubali kinyama. Hii ni kwasababu amenisaidia mambo mengi sana. Katika kutimiza ndoto zangu..(amenisaidia sana)

Sasa kwakuwa nakaa nae bila ndoa, Kuna changamoto ya mwezi mtukufu wa ramadhani. Mana kijamii na kidini sio sahihi kukaa kiunyumba bila ndoa..

Sasa huyu dada akasema yeye atahama ila mwezi ukiisha itabidi nihamie hapo alipopata chumba mana mama mwenye nyumba hawaelewani(udhaifu wa wanawake) hivyo baada ya ramadhani itabidi tuendelee kukaa pamoja.

Sasa Mimi naomba ushauri
Nikae nae au tukae tofauti? ila Lengo letu kubwa ni kufunga ndoa au tuanze kupambana kuanzia chini mpaka juu.

Je, hustle za kupambana uku unaishi na msichana ambae utakuja kumuoa inaakaaje??

Naombeni ushauri wa kina mana nikimwambia tukae tofauti lazima aanze kulia..

Naomba ushauri!
Ninapokaa Kodi inaisha mwezi wa tano(40000) tutakapo Amia ambapo amelipa yeye Kodi ni (70000) amelipa miezi 4.

Ombi langu kubwa ni kama ifuatavyo.
Matika kutafuta maisha ni vizuri kukaa na msichana mkianza kutafuta pamoja??

Naomba msaada
 
Kwaio mnachakatana kama kawaida, mwez mtukufu mnaeka pause ili mtubu af mrudi tena kwenye "sambi". Mambo ni faya🤣

Anyway, ushauri wa bure, mwanaume n kupambana, kama amelipia, huo mda na wewe tafta chumba chenye hadhi io io af muamie kwako.

Mwanaume ili uendeshe familia vzur inabd wewe ndo ushike usukani wa mambo kama makazi. La sivo kuna uwezekano atakuja kukusimanga huko mbeleni.

Yeye kulipa 70k maana yake anakuonyesha kua inabd u upgrade life lenu. Coz yawezekana hicho cha 70 n self af chako ndo ile la member.
 
Habari JF
Kwa unyenyekevu mkubwa Nipo mbele yenu kuomba ushauri juu ya hili suala la Mimi na mpenzi Wangu.

Kwa upande wangu Iko hivi.
Nina ishi na msichana ambae tupo kwenye uhusiano almost miezi 10 Sasa.

Kiukweli uyu manzi ananikubali sana, na Mimi pia namkubali kinyama. Hii ni kwasababu amenisaidia mambo mengi sana. Katika kutimiza ndoto zangu..(amenisaidia sana)

Sasa kwakuwa nakaaa nae bila ndoa, Kuna changamoto ya mwezi mtukufu wa ramadhani. Mana kijamii na kidini sio sahihi kukaa kiunyumba bila ndoa..

Sasa huyu dada akasema yeye atahama ila mwezi ukiisha itabidi nihamie hapo alipopata chumba mana mama mwenye nyumba hawaelewani(udhaifu wa wanawake)) hivyo baada ya ramadhani itabidi tuendelee kukaa pamoja.

Sasa Mimi naomba ushauri
Nikae nae au tukae tofauti? ila Lengo letu kubwa ni kufunga ndoa au tuanze kupambana kuanzia chini mpaka juu.

Je hustle za kupambana uku unaishi na msichana ambae utakuja kumuoa inaakaaje??

Naombeni ushauri wa kina mana nikimwambia tukae tofauti lazima aanze kulia..

Naomba ushauri!
Ninapokaa Kodi inaisha mwezi wa tano(40000) tutakapo Amia ambapo amelipa yeye Kodi ni (70000) amelipa miezi 4.

Ombi langu kubwa ni kama ifuatavyo.
Matika kutafuta maisha ni vizuri kukaa na msichana mkianza kutafuta pamoja??

Naomba msaada
Mtego huo, kuna mtu mmoja alisema usioe kabla hujajipang.
 
Huyo mwanamke anayekubembeleza umuoe, mkioana atakupa mda akiona mambo yako bado
hajakwendea ipasavyo sio ajabu akakusababishia mauvi
 
Back
Top Bottom