Dr wa Kaliua
JF-Expert Member
- Sep 20, 2020
- 1,634
- 3,880
- Thread starter
- #21
Kuhusu hili hapana.Huyo mwanamke anayekubembeleza umuoe, mkioana atakupa mda akiona mambo yako bado
hajakwendea ipasavyo sio ajabu akakusababishia mauvi
Nilianza mahusiano nae nikiwa chuo mwaka wa kwanza.
Shughuli yangu kubwa ilikuwa Uvuvi.
Kwa siku nilikuwa napata 1500/=
Kipato kikibwa ni 15000/= inategemea na siku..nilimuambia Mimi ni masikini sina kitu alinielewa na nilikuwa na shida sana.
Nashukuru Mungu kwa Sasa kipato changu kwa siku nikitoa gharama za Uendeshaji ni 60000/= na kuendelea
mkuu owa huyo kabla haja tokea mjanja akatangaza ndoa.
