Ushauri Juu ya Hatima ya maisha yangu

Ushauri Juu ya Hatima ya maisha yangu

Ndoa Ni wizi kuwa makini yaani unakarobisha mikosi katika Duke so tuache siasa wanawake sio Tz
 
Muoe tu awe mkeo baraka nazo huongezeka wakat mwingine muombe ataje mahari ambayo utaimudu kumlipia mambo yaishe
 
Habari JF,

Kwa unyenyekevu mkubwa Nipo mbele yenu kuomba ushauri juu ya hili suala la Mimi na mpenzi Wangu.

Kwa upande wangu iko hivi.
Ninaishi na msichana ambae tupo kwenye uhusiano almost miezi 10 Sasa.

Kiukweli huyu manzi ananikubali sana, na Mimi pia namkubali kinyama. Hii ni kwasababu amenisaidia mambo mengi sana. Katika kutimiza ndoto zangu..(amenisaidia sana)

Sasa kwakuwa nakaa nae bila ndoa, Kuna changamoto ya mwezi mtukufu wa ramadhani. Mana kijamii na kidini sio sahihi kukaa kiunyumba bila ndoa..

Sasa huyu dada akasema yeye atahama ila mwezi ukiisha itabidi nihamie hapo alipopata chumba mana mama mwenye nyumba hawaelewani(udhaifu wa wanawake) hivyo baada ya ramadhani itabidi tuendelee kukaa pamoja.

Sasa Mimi naomba ushauri
Nikae nae au tukae tofauti? ila Lengo letu kubwa ni kufunga ndoa au tuanze kupambana kuanzia chini mpaka juu.

Je, hustle za kupambana uku unaishi na msichana ambae utakuja kumuoa inaakaaje??

Naombeni ushauri wa kina mana nikimwambia tukae tofauti lazima aanze kulia..

Naomba ushauri!
Ninapokaa Kodi inaisha mwezi wa tano(40000) tutakapo Amia ambapo amelipa yeye Kodi ni (70000) amelipa miezi 4.

Ombi langu kubwa ni kama ifuatavyo.
Matika kutafuta maisha ni vizuri kukaa na msichana mkianza kutafuta pamoja??

Naomba msaada
Mi naona nenda naye.
Kama wote mnajielewa hakuna ubaya wa kutafuta pamoja.
Tafuta mtaani kwako watu wanaojenga pamoja (mme na Mke) uongee nao, utaona vitu vinavyowezekana.
 
Wanaume mmekuw wazembe sana jambo dog km Hilo unatk Kuja kusumbua watu na ushaur ebu vty vngne muwe mnfny wenyew bhn
 
Back
Top Bottom