tafuta mdada wa kazi mpange karibu na chuo..Nini kifanyike mkuu?
Ongea na wa kwenu huko kijijini apatikane binti wa kazi ambaye kwao panafahamika vzr then huyo ndugu yako apange karibu na chuo mda ambao hana kipindi atakua anaenda kunyonyesha na kumuona mtoto.Muhimu mshauri apunguze gegedo zisizo na mpangilio kuepuka ujauzito mwingine!tafuta mdada wa kazi mpange karibu na chuo..