Ushauri: Jinsi ya kuishi na mwanamke mlalamishi

Ushauri: Jinsi ya kuishi na mwanamke mlalamishi

anakupenda sn huyo mkeo..ni wivu tu unamsumbua!!kaa naye chin mweleze atajirekebisha ila ni mapezni tu juu yako yanamfanya awe hivyo
 
kaa nae umueleze unavyojickia na umtell kashakuwa mkubwa she should take care of herself mambo ya oficn asilete nyumbani kabisa period......well kuhusu salon na nguo kilakitu mnakaa mnapanga budget ya pesa zenu ipi iende wap na ifanye nin...may be u are the problem mtashindwanaje vitu kama hvyo
 
Imeandikwa wapendeni wake zenu, so mpende tu katika hali yoyote ile. Swala la urembo na matumizi ya nyumbani ni kazi yako hilo ulitambue ndo uanze kuja kulalamika.

La zaidi ukishajua majukumu yako kama baba wa nyumba malalamishi mengine yatapungua.
 
To show Love na kuhisi na yeye pia anajaliwa na mumewe.. Women tunapenda sana kuonyeshwa Care, Spoil and Love.. Sometimes hata kama Mume hana kikubwa but hata kidogo kwa wale wenye Upendo wa kweli are really appreciated ... Sisi ni wadhaifu my dear na udhaifu wetu ni kwenye kupendwa ....na kujaliwa .. Thanks...
Kwani, anayehitaji kuhisi anapendwa na anajaliwa ni mwanamke tu, sio pande zote mbili?
 
Ushauri Jamani,

Mke wangu ni mlalamishi sana pia ana wivu uliopindukia.Tulikuwa tukifanya kazi ofisi moja kwa kweli nilikuwa nikipata shida sana yaani nikicheka na msichana yeyote ofisini basi ni kwamba nampenda. Bahati nzuri nikahamishwa kikazi tena nimehama Mkoa kabisa lakini toka nilipohama amekuwa ana lawama za ajabu.

Yaani kila siku ofisini anaonewa yeye kila mtu anamnyanyasa yeye mpaka nakosa amani ukijaribu kufuatilia kiundani unagundua yeye ndio mkorofi. Jambo ni maswala ya urembo wake analalamika eti simpi hela ya saloon mara simnunulii nguo. Nikijaribu kumuuliza hivi wewe katika mshahara unaopata kwanini usitenge hela ya saloon inakua ni ugomvi ndani ukimpa hela kama laki mbili kwamba zitunze basi anaona kesha kuwa kama tajiri.

Ndani ya siku mbili ukiuliza anakwambia katumia elfu hamsini ukiuliza zimefanya nini unaonekana unamnyanyasa kisa anatoka familia ya kimaskini. Napata taabu jinsi ya kuishi na huyu mwanamke. Nimezaa nae mtoto mmoja lakini hatujafunga ndoa. Hawapendi rafiki zangu ilishatokea siku akamsingizia rafiki yangu kuwa amemtongoza.

Ushauri jamani nakosa raha kabisa

Ukishaona hivyo ujue ameshakuchoka ila anashindwa kukwambia tu na hivyo anakufanyia visa kwa mategemeo kwamba utaupata ujumbe sasa kama bado tu unashindwa kulisoma soma tegemea kubwa kuliko ambalo litakukimbiza bila ya kuangalia nyuma!
Nakushauri msaidie kwa kulielewa somo na kumwacha aende kwa ampendae haraka sana na usifikirie mara mbili wala kuuliza uliza kwa maana utakuja kuujua ukweli utakufa!
 
Kwani, anayehitaji kuhisi anapendwa na anajaliwa ni mwanamke tu, sio pande zote mbili?

Yes dear ni pande zote but to us we need more extra attention that's why tuliitwa viumbe dhaifu.. sio wanaume Bali wanawake na udhaifu wetu mmojawapo ndio huo . Thanks.
 
Kwani, anayehitaji kuhisi anapendwa na anajaliwa ni mwanamke tu, sio pande zote mbili?

Yes dear ni pande zote but to us we need more extra attention that's why tuliitwa viumbe dhaifu.. sio wanaume Bali wanawake na udhaifu wetu mmojawapo ndio huo . Thanks.
 
Back
Top Bottom