Ushauri: Jinsi ya kuishi na mwanamke mlalamishi

Ushauri: Jinsi ya kuishi na mwanamke mlalamishi

nadhani lazima utueleze mtoto ana umri gani,huenda tatizo lako tuko wengi,mimi ikinitokea ile anaanza kuongea in case niko nae go away for some times then she will forget once ukirudi,hebu jitolee kumlinda mtoto wako,other wise mtoto atajenga enough negative.

Mtoto ana 2 yrs
 
Sometimes nafikiria kuachana nae lkn nakua na huruma na mwanangu maana familia zikishakua na mtoto wa nje zinakua na matatizo sana
 
Naogopa kufunga nae ndoa aiseee

Sasa umeweza kuzaa nae ila Kufunga ndoa inakuwa tabu huoni ushamwalibia plan zake?Ishi nae kwa akili na mwanamke anapenda kudekezwa,usichokE kutoa pesa ya salon,na viatu na mikoba vyEnginEvyo utasaidiwa kazi.
 
Duh....
 
Sometimez unaona ni bora usaidiwe kuliko kuishi katika kero na stress
 
Dickmaja

Hilo ni tatizo la kuzaa kwa mpango, keep her busy, mimba kwa wingi yaani full vichefuchefu ataacha usienge huyo!
Gegeda yeye mwanza mwisho! Alaaaaaaa!?
 
Last edited by a moderator:
Jamani ndio maana kuna kuchekiana
ukimshindwa basi fanya yako

mbona simple
ila mkuuu kama ni mwaminifu ,tafuta suluhu
kumpata mtu muaminifu ni ngumu
 
jamani ndo maana kuna kuchekiana
ukimshindwa basi fanya yako

mbona simple
ila mkuuu kama ni mwaminifu ,tafuta suluhu
kumpata mtu muaminifu ni ngumu

Kwa kweli siwezi kumsingizia ila sijawahi hata kumhisi kuwa anachepuka.... Labda kama yuko too careful
 
Pole ka yaliokutokea.Inaonesha Mwanamke uo ana matatizo fulani katika jamii inao mzunguka. Jaribu umkutanishe na mtaalamu wa tiba io.Ila wewe unapaswa kutimiza wajibu wako.

Kama kutimiza ahadi ili ufunge ndoa na yeye.pengine ndio chanzo kikubwa kinapomkera wakati hupo kazini.Na ndio maana wewe umehamishwa katika kituo kingine.Kwa vile bado hampo wanandoa.

Jaribu kumsikiliza mke wako na anza sasa hivi mipango ya ndoa.Au wewe tayari huko ulipo umeshapata mzigo mwengine? Kama hunampango Basi tunza familia yako na jaribu unfunge ndoa haraka ili mtoto wako aweze kupata mazingira mazuri ya upendo
 
Samahani mkuu naomba niulize, mke anafanya kazi, ana mshahara wake, mme nae ana kazi ana mshahara wake.

Huwa ni kwa nini mwanamme ampe hela ya saloon mwanamke ili hali nae ana mshahara?

Nauliza kwa nia njema tu, maana huwa sielewi logic yake.

To show Love na kuhisi na yeye pia anajaliwa na mumewe.. Women tunapenda sana kuonyeshwa Care, Spoil and Love.. Sometimes hata kama Mume hana kikubwa but hata kidogo kwa wale wenye Upendo wa kweli are really appreciated ... Sisi ni wadhaifu my dear na udhaifu wetu ni kwenye kupendwa ....na kujaliwa .. Thanks...
 
Sometimez unaona ni bora usaidiwe kuliko kuishi katika kero na stress

Hasira my dear haijengi na watch unachokisema kwa kuwa mdomo unauumba.. Just sit down with her ongea nae madhaifu yako na madhaifu yake .. But also remember kuishi nae kwa akili ..

Hii inamaanisha usiwe mkali , au wa kutoa kauli isiyofaa kwake.. Na pia muonyeshe kuwa unampenda kwa kufanya hivyo atakavyo once for while naye ajisikie furaha na kuna Mtu anamjali ..

My dear wanawake sisi ni kama Flower tukimwagiliwa Maji tunakua vizuri na tukikosa maji tunanyauka .. So just try your best .. Na kumbuka women tunapenda attention from our men .. just remember that .. Try also to pay attention on her .. Kwako ni kero but kwa mwenzio ni Furaha .. Pole sana. Thanks..
 
Mwanamke hata alale na awe mamilioni atadeka kwako,hata asome vipi atakusikiliza,na kukuomba ww pesa ni hali ya uanamke kwamba mwili na akili zake ndivyo vilivyoymbwa kuhitaji kupendwa na kuonyeshwa kumjali hata kama mpo sawa kiuwezo,,,,,,tatizo lako unamchukulia kama mwanaume ndo maana yeye inampelekea kulalamika,hivyo mtende kama MTU mdhaifu na anayehitaji kuelekezwa
 
You said it all, thread closed.
 
Back
Top Bottom