Ushauri: Jinsi ya kuishi na mwanamke mlalamishi

Pole me wangu ni mjamzito sipapendi tena kwangu kulivyo na shida
Hili linajulikana na akiisha maliza huo ujauzito hali inakuwa shwari. Ila huyu ndugu wake ni mlalamishi na mimi nadhani wote tu wanafanana ila wanatofautiana kiwango cha ulalamishi.
 
Mwanawake kama huyo Apigwe tu, maana hakuna namna nyingine.
 
Hasira my dear haijengi na watch unachokisema kwa kuwa mdomo unauumba.. Just sit down with her ongea nae madhaifu yako na madhaifu yake .. But also remember kuishi nae kwa akili ..

Hii inamaanisha usiwe mkali , au wa kutoa kauli isiyofaa kwake.. Na pia muonyeshe kuwa unampenda kwa kufanya hivyo atakavyo once for while naye ajisikie furaha na kuna Mtu anamjali ..

My dear wanawake sisi ni kama Flower tukimwagiliwa Maji tunakua vizuri na tukikosa maji tunanyauka .. So just try your best .. Na kumbuka women tunapenda attention from our men .. just remember that .. Try also to pay attention on her .. Kwako ni kero but kwa mwenzio ni Furaha .. Pole sana. Thanks..

Aisee wewe ni mwanamke wa ukweli.
 
Ila nina wasiwasi na wewe huenda huko ulikohamishiwa umepata ke mngine sentensi zako za mwisho zinawejionyesha.tuu
 
Ushauri Jamani,

Mke wangu ni mlalamishi sana pia ana wivu uliopindukia.Tulikuwa tukifanya kazi ofisi moja kwa kweli nilikuwa nikipata shida sana yaani nikicheka na msichana yeyote ofisini basi ni kwamba nampenda. Bahati nzuri nikahamishwa kikazi tena nimehama Mkoa kabisa lakini toka nilipohama amekuwa analawama za ajabu.

Yaani kila siku ofisini anaonewa yeye kila mtu anamnyanyasa yeye mpaka nakosa amani ukijaribu kufuatilia kiundani unagundua yeye ndio mkorofi. Jambo ni maswala ya urembo wake analalamika eti simpi hela ya saloon mara simnunulii nguo. Nikijaribu kumuuliza hivi wewe katika mshahara unaopata kwanini usitenge hela ya saloon inakua ni ugomvi ndani ukimpa hela kama laki mbili kwamba zitunze basi anaona kesha kuwa kama tajiri.

Ndani ya siku mbili ukiuliza anakwambia katumia elfu hamsini ukiuliza zimefanya nini unaonekana unamnyanyasa kisa anatoka familia ya kimaskini. Napata taabuinsi ya kuishi na huyu mwanamke. Nimezaa nae mtoto mmoja lakini hatujafunga ndoa. Hawapendi rafiki zangu ilishatokea siku akamsingizia rafiki yangu kuwa amemtongoza.

Ushauri jamani nakosa raha kabisa

hapo kwenu hakuna mjumbe au balozi?
 
aise pole sana mkuu, huyo jaribu kumtia makofi siku 1.
 
Wake wengine vizaazaa,unacho icho,Fanya apendavyo km unampenda.
 
Ushauri Jamani,

Mke wangu ni mlalamishi sana pia ana wivu uliopindukia.Tulikuwa tukifanya kazi ofisi moja kwa kweli nilikuwa nikipata shida sana yaani nikicheka na msichana yeyote ofisini basi ni kwamba nampenda. Bahati nzuri nikahamishwa kikazi tena nimehama Mkoa kabisa lakini toka nilipohama amekuwa ana lawama za ajabu.

Yaani kila siku ofisini anaonewa yeye kila mtu anamnyanyasa yeye mpaka nakosa amani ukijaribu kufuatilia kiundani unagundua yeye ndio mkorofi. Jambo ni maswala ya urembo wake analalamika eti simpi hela ya saloon mara simnunulii nguo. Nikijaribu kumuuliza hivi wewe katika mshahara unaopata kwanini usitenge hela ya saloon inakua ni ugomvi ndani ukimpa hela kama laki mbili kwamba zitunze basi anaona kesha kuwa kama tajiri.

Ndani ya siku mbili ukiuliza anakwambia katumia elfu hamsini ukiuliza zimefanya nini unaonekana unamnyanyasa kisa anatoka familia ya kimaskini. Napata taabu jinsi ya kuishi na huyu mwanamke. Nimezaa nae mtoto mmoja lakini hatujafunga ndoa. Hawapendi rafiki zangu ilishatokea siku akamsingizia rafiki yangu kuwa amemtongoza.

Ushauri jamani nakosa raha kabisa

ulikosea kidogo kwenye uchumba. so vumilia tu.
 
Mchinjie baharin tu huyo c hujafunga naye ndoa.... Tafuta mtoto mwingine uoe officially
 
piga chini maisha haya ukiishi kwa stress utakufa mapema
 
Ndio mkeo inabidi umuelewe ili umchukulie poa pia jaribu kukaa nae na muongee juu ya tabia yake
 
Back
Top Bottom