Ushauri: Jini linataka limuoe

Ushauri: Jini linataka limuoe

Naona nyinyi mnaleta story za abunu wasi aliesema jini linatoka kwa bangi na kitimoto nani mwenzenu anaomba msaada nyinyi mnaleta usengerema au mpaka yakukuteni ndo mjue
 
Basi hamna jini hapo mkuu!!
paka huyu binti amenifata,nina uzoefu mzuri sana na haya madude mkuu,nimempeleka church,mda mwingine limepanda tukiwa wawili tu,ila now ,najua ninachokiongea bro
 
dada faidha,nilicholeta kwenya jamvi ni ukweli mtupu,sina sababu ya kuleta uongo au utapeli kama unavyosema,itanisaidia nini??ni kitu halisi ,huyo binti namfaham vizuri na niongeacho nakielewa vizuri,hadi kwa mganga alienda but mganga alimwambia hataweza kupona,hadi baadhi ya makanisa ya kiroho wamemwambia hatapona,sio kila mtu nitapeli,
respect

Ngoja kwanza tuone hii movie itaishaje.
 
Ngoja kwanza tuone hii movie itaishaje.
inaaana hujawahi ona au sikia mtu mwenye tatizo kama hilo??haya bhana,me naomba mungu huyu binti aweze kupona,anayopitia me nayafaham..
 
Hee,, alikutana nalo wapi hadi wakaanzisha uhusiano wa kimapenzi,,

Na kama nae amelipenda si aliambie lipeleke posa kwa wazazi afunge nalo ndoa.?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom