Wanaombea wasichokiona? Wanajuaje hilo ni jini sio degedege? Kama hawalioni jini watajuaje limekimbia? Au limekaa pembeni maombi yakiisha limetangulia homeMpelekeni makanisa ya kilokole ataombewa mpaka jini litoke lenyewe na halitarudi tena
Jini anamtaka mwanafunzi haogopi miaka 30 kifungoni
kwani hujui majini huwa yanatolewa kanisani...Ila ukienda kwa kina sheikh Kipozeo wanakuongezea majini mengine ili waendelee kupiga stori na jinni la kwanza.....blal fkn wahedBaada ya muda fulani mleta mada ataleta mrejesho ya kuwa alimpeleka binti kanisa fulani na hilo "jinni" likatolewa kama mchezo.
Huu ni utapeli tu hakuna zaidi.
sawa mkuuAni PM wala sina haja ya kumwona sura yake ila atakapofunguka, sharti ni moja tu, aje humujf kutoa ushuhuda jinsi nilivyo msaidia akapona. Wapo wengi sana mkuu wenye shida hii
hana ndugu,ila kwa tatizo lake hata huko anaweza akaja,cha msini ni kupona tuKama ana ndugu Zanzibar,mwambie aje nimuelekeze sehem
mchumba anayeSolution ni rahisi mno, jini huwa halipendi kushare, atafute mchumba litakimbia lenyewe!!
Baada ya muda fulani mleta mada ataleta mrejesho ya kuwa alimpeleka binti kanisa fulani na hilo "jinni" likatolewa kama mchezo.
Huu ni utapeli tu hakuna zaidi.
dada faidha,nilicholeta kwenya jamvi ni ukweli mtupu,sina sababu ya kuleta uongo au utapeli kama unavyosema,itanisaidia nini??ni kitu halisi ,huyo binti namfaham vizuri na niongeacho nakielewa vizuri,hadi kwa mganga alienda but mganga alimwambia hataweza kupona,hadi baadhi ya makanisa ya kiroho wamemwambia hatapona,sio kila mtu nitapeli,Baada ya muda fulani mleta mada ataleta mrejesho ya kuwa alimpeleka binti kanisa fulani na hilo "jinni" likatolewa kama mchezo.
Huu ni utapeli tu hakuna zaidi.
wako wapi hawa mshana jr na nyani ngabiusiwe na shaka lipo suluhisho mshana jr na nyani ngabu ndio sukuhisho
Sijamaanisha mchumba wa mapambo mkuu!.... Je huwa wanakula tunda la katikati??.... Jini huwa hapendi kushare tunda, kama wanakula tunda la katikati jini litakimbia lenyewe!!mchumba anaye
hahaha,honestly that girl anae boyfriend,ila sidhani kama jini atakimbia kwa sababu hiyoSijamaanisha mchumba wa mapambo mkuu!.... Je huwa wanakula tunda la katikati??.... Jini huwa hapendi kushare tunda, kama wanakula tunda la katikati jini litakimbia lenyewe!!
Jini kukimbia kwa sababu hiyo ni fact ambayo iko wazi mkuu!!... Fuatilia kuhusu hilo, jini kamwe huwa hashei!hahaha,honestly that girl anae boyfriend,ila sidhani kama jini atakimbia kwa sababu hiyo
sijui kama ni la kiislam,Dawa ya hayo majini ya Kiislamu ni KITIMOTO tu!