Ushauri jamani, anataka turudiane

Ushauri jamani, anataka turudiane

Story yenyewe inaonyesha huna uzoefu na maswala ya mapenzi,hajawahi chepuka,unapenda mazima kama upendo wa mama kwa mtoto! kama unampenda msamehe,usiudhuru Moyo wako,kwakuwa tayari umeonyesha udhaifu,unamruhusu aje kwako,unampa na mda wa kuonyesha hisia zake fake kuwa anakupenda! mchukulie kama mwana mpotevu,msamehe kwakuwa huna mapenzi ya dhati na Clara,unamuonea huruma kwa care anayokupa
 
Mnyika alimwita JK ni dhaifu

Na mimi nakuita wewe ni dhaifu.

1. Umepigwa chini bila sababu yeyote kisha demu kahamia kwa mwarabu, mwarabu kampiga chini halafu anarudi kwako kukwambia bado anakupenda na wewe pia unakiri bado unampenda. Are you a real man? Sielewi elewi hapa.... wanaume tunapotea aisee.

Hivi wewe haujui huu msemo unamaanisha nini "MTEMA MATE HAONI KINYAA BALI ANAYETEMEWA MATE".

2. Hebu niambie, Je, unampenda Clara? Ikiwa ni NDIO unampenda, sasa unataka ushauri gani? Unataka uoe wote wawili. Acha Ubwege dogo angalia maisha na achana na viruka njia.

Anyway, acha niishie hapa maana naweza kusema maneno ya ovyo.

Libenna
 
Last edited by a moderator:

Umemaliza kila kitu
 
Last edited by a moderator:
Unajua ukitaka kumuua nyani usimuangalie usoni,huyo unatakiwa umweleze ukweli kwamba hana msimamo na kama hana huo msimamo hafai kuwa na wewe,usifanye kosa la kurudiana nae atakusumbua kwani anatamaa,akija mtu mwingine aliye juu kimapato zaidi yako atakuacha tena,kaa na huyo clara ambaye anaupendo wa dhati kwako.
 
Sasa ushauri gani unataka bwashee?we si umesema unampenda Clara???huyo demu wako wa zamani atakuwa ameshatinginyuliwa hadi ndogo na huyo mwarabu.
 
yaani Clara kanimwaga kumbe amekuja kwako ngoja na wewe umwage urudiane na yule aliyeenda kwa mwarabu ili naye arudi kwangu maana Clara nae aliniacha bila sababu maalum.

Penzi kiti cha basi kijana kama una akili utakuwa umeelewa ujumbe wangu
 
Mnyika alimwita JK ni dhaifu

Na mimi nakuita wewe ni dhaifu.

1. Umepigwa chini bila sababu yeyote kisha demu kahamia kwa mwarabu, mwarabu kampiga chini halafu anarudi kwako kukwambia bado anakupenda na wewe pia unakiri bado unampenda. Are you a real man? Sielewi elewi hapa.... wanaume tunapotea aisee.

Hivi wewe haujui huu msemo unamaanisha nini "MTEMA MATE HAONI KINYAA BALI ANAYETEMEWA MATE".

2. Hebu niambie, Je, unampenda Clara? Ikiwa ni NDIO unampenda, sasa unataka ushauri gani? Unataka uoe wote wawili. Acha Ubwege dogo angalia maisha na achana na viruka njia.

Anyway, acha niishie hapa maana naweza kusema maneno ya ovyo.

Libenna
Umemaliza kila kitu mkuu kama mtoa maada niwa ukelewa atakuwa amekuelewa.
 
Last edited by a moderator:
Hakupendi huyo angethamini upendo wako asingekuacha, mpende akupendae asiekupenda achana nae
 
Huyo alienda kuongeza upendo mrudie tu hana neno,si unampendae haya
 
Fhhrfchcbvdgbvhbdfnkhcgnbjfgdsggdgcmvdhvxccfgfhhhhhhnhghjgrdrdfhhghhgjhhhhvhbh... Huo ndoushauri wangu
 
Ukimrudisha we msen.... Mwarabu atakuwa ashamf.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom