Ushauri: Hapendwi na wasichana

Ushauri: Hapendwi na wasichana

Nina Rafiki Yangu Kipenzi Sana Ambaye Tumetoka Nae Mbali Sana Huyu Jamaa Huwa Analia Na Kuumia Sana Kwa Tatizo Kubwa Moja Anadai Kuwa Hapedwi Na Wasichana Lakini Hajui Ni Kwa Nini Kwa Sababu Jamaa Ni Msafi Sana, Anatupia Kama Kawaida Na pia Ni Handsome Kiasi Chake ila kinachomsibu Ni Kuwa Jamaa Ni Bigwa wa Kukataliwa Na wasichana siku zote kila akirusha voko anachomolewa Ingawa ni mpole na hana shobo wala masifa ya kijinga, Me nashidwa hata cha kumshauri Tafadhalini wakuu nisaidieni ushauri juu ya huyu jamaa angu nini afanye ili kuondokana na tatzo hilo hasa ushauri wa kisaikolojia.
Wake hajazaliwa BTW asiwe mchaguzi sana pia apunguze kinyaa
 
...khaaaa!sasa unataka sie tumshauri ili akapendwe na dada wa nani wakati hata wewe mshkaji humtaki kwa dadaako?
Haaahaa si kwamba simtaki mkuu ila haipaswi kuwa hvyo kwangu pia dada zangu ni wakubwa sana kwake,
 
Haaahaa si kwamba simtaki mkuu ila haipaswi kuwa hvyo kwangu pia dada zangu ni wakubwa sana kwake,
....hahahahahaha...acha kujitetea bhana,yani kwa misifa ulommwagia hata hao dada zako watamuelewa tu!
...si wanasema umri ni tarakimu tu sheikh!?
 
Je anapiga mswaki na hana harufu mbaya mdomon
Sijajua kuhusu ilo coz sisi ni boyz hvy mnapoongea kuna distance mnapeana hvy ni vigumu kuckia kama anatoa harufu ila mswaki anapga kama kawaida,
 
Kama anatatizo la harufu ya mdomo ina mdisqualify coz hakuna mwanaume au mwanamke anapenda mwenzi wake awe hvo faragha inakuwa shida bro..
 
Mkuu ni wewe unatafuta gia!!![emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Back
Top Bottom