dre4691
JF-Expert Member
- Feb 22, 2016
- 549
- 518
Ajiamini, awe na sifA za kijinga kwa kifupi ajisifie smtm, awe mbishi tu kila kitu hs akiwa na mwanamke, asisifiwe wanawake kbs Labda da da zake nyumban, maamuzi yake 80 % yawe hapna, asichekecheke ovyo yaan ukifany hivo hautatongoza kila unapoenda utasikia lzm upate demu wa 2 had 3 wanajileta ucheshi na usafi ni mhm na mwisho usimpe demu ht sh kumi kama hujamgonga na siku zote behave km una mademu wengi wanakutaka hivyo huna shida na demu, ukiwa hivo wanawake watajua tu wakikuona wenyewe wanajileta huitaji ht hela