talentboy
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 2,104
- 2,086
mmmh!yote haya ili apate mademu tu au mke tena?Mwambie aombe na kutolea sadaka pia.
mmmh!yote haya ili apate mademu tu au mke tena?Mwambie aombe na kutolea sadaka pia.
Labda walioko katika ukoo wakowadada wanapendaga story za kufurahi za uwongo na kweli. Ila achanana issue iyo mwambie kaza buti hari mbaya, wanawake ibilisi tu hawana cha ziada. Wewe ndie mwenye akili mshauri busara.
......miss you more shem!ila usiwaze shem lake,i'll hug you in my prayers all night tonight!Google shemeji.....niko poa na huku ni kwema shem lake miss you sana yani.
Asante kwa neno lako limefika,Mwambie aombe na kutolea sadaka pia.
Sawa mkuu nimekuelewa sana,wadada wanapendaga story za kufurahi za uwongo na kweli. Ila achanana issue iyo mwambie kaza buti hari mbaya, wanawake ibilisi tu hawana cha ziada. Wewe ndie mwenye akili mshauri busara.
Wooow thank you shem lake be Blessed .....hahahaa jirani hayupo jamani......miss you more shem!ila usiwaze shem lake,i'll hug you in my prayers all night tonight!
...msalimie jirani,ujumbe wake ntakupa kesho!
Wa madanguro shida na akienda huko ndo tushampoteza tena,Muongo huyo amepitia madanguro mangapi? Au huko kuna wanaume siku hizi...
...ooooopsss!..leo ntalala kama mzungu.,na mchupa mkubwa wa whiskey kitandani!Wooow thank you shem lake be Blessed .....hahahaa jirani hayupo jamani
Mkuu,Nina Rafiki Yangu Kipenzi Sana Ambaye Tumetoka Nae Mbali Sana Huyu Jamaa Huwa Analia Na Kuumia Sana Kwa Tatizo Kubwa Moja Anadai Kuwa Hapedwi Na Wasichana Lakini Hajui Ni Kwa Nini Kwa Sababu Jamaa Ni Msafi Sana, Anatupia Kama Kawaida Na pia Ni Handsome Kiasi Chake ila kinachomsibu Ni Kuwa Jamaa Ni Bigwa wa Kukataliwa Na wasichana siku zote kila akirusha voko anachomolewa Ingawa ni mpole na hana shobo wala masifa ya kijinga, Me nashidwa hata cha kumshauri Tafadhalini wakuu nisaidieni ushauri juu ya huyu jamaa angu nini afanye ili kuondokana na tatzo hilo hasa ushauri wa kisaikolojia.
Amen,Mwambie Yesu Anampenda.
mmmh!yote haya ili apate mademu tu au mke tena?
Sawa mkuu nimekupata vyema.Mkuu,
Sijaelewa unataka kumshauri katika anga IPI na hujatueleza katika kukataliwa huko anapungukiwa na nini, mkee au rafiki wa kukata kiu? Kama ni wa kuu atembelee maeneo kama Corner Bar, Sinza. Meridian K'nondoni hata hapo kwa Mbowe shida yake itakuwa imeisha. Kama ni mambo ya mke aombe Mungu maana wanasema mke huletwa na Mungu.
Thank you so much shemdarling, much love to you na makiss mengi mengi yakufikie...ooooopsss!..leo ntalala kama mzungu.,na mchupa mkubwa wa whiskey kitandani!
...lots of love and kisses shem wake mie!
Muuulize kama vp inabidi apewe kombe anywe ! teh teh tehHajawahi niambia kama amewahi enda kwa dada poa so cjui kuhusu hilo,