Director D
Senior Member
- Feb 24, 2016
- 192
- 229
- Thread starter
- #41
Hajawahi niambia kama amewahi enda kwa dada poa so cjui kuhusu hilo,Daaaaaaah hata DADA POa hawapati ? ?
Hajawahi niambia kama amewahi enda kwa dada poa so cjui kuhusu hilo,Daaaaaaah hata DADA POa hawapati ? ?
Hilo nalo neno mkuu,#HapaHapendwiMtuInapendwaPesa.
...ah kumbe "huenda?"...amin amin nakwambia,kama wewe umemuelewa hata wao watamuelewa!Teh teh teh sheikh huenda hata wao hawamtaki bana me siwezi jua,
Ok ntamdodosa kwa hilo ikiwa ndo tatzo ntakutafuta kwa msaada zaid,Kama anatatizo la harufu ya mdomo ina mdisqualify coz hakuna mwanaume au mwanamke anapenda mwenzi wake awe hvo faragha inakuwa shida bro..
Doooh hvyo unamwua mkuu,mnunulie sabuni tu huyo
Kumfanya awe na mvuto zaidi na kupendwa na wanawake.Iyo itamsaidi kuongeza nin mkuu,
Ningekua na mabawa ningeruka kama ndege unipooze moyo wangu unipoozeeeeeeeee hahahaaaa.....shkamoo shemejiii....hahahahahaha..shemeji,"mboni ichafukapo jicho huwa mashakani...,ni mbali we ulipo na sijui u-hali gani!....."
kwa hisani ya Q-Chilla!
Ok ila iyo tiba doooh,Kumfanya awe na mvuto zaidi na kupendwa na wanawake.
Chizi sana weee hahhahahaMpe dadaako!
Sawa mkuu nimekuelewa,Ha! ha! kupendwa unatakiwa uwe intelligence. Usidhani kupendwa unapendwa tu! na pamba zako za KTM mbagala. Nakumbuka wakati nasoma secondary nilikuwa napendwa kweli class hadi ikifika pindi wik end nikawa nachukia , yaani hii bichwa ilikuwa full charged alafu mtoto yupo climax ktk love wakati huo boy nipo top katika class. Yaani nilikuwa nanata sana class halafu nilikuwa sio HB kivile ila nilikuwa nasaidia kidogo.
....hahahahahaha...shemeji umegelezea wapi,mi nikajua unajua Lupela tu!Ningekua na mabawa ningeruka kama ndege unipooze moyo wangu unipoozeeeeeeeee hahahaaaa.....shkamoo shemejiii
Nina Rafiki Yangu Kipenzi Sana Ambaye Tumetoka Nae Mbali Sana Huyu Jamaa Huwa Analia Na Kuumia Sana Kwa Tatizo Kubwa Moja Anadai Kuwa Hapedwi Na Wasichana Lakini Hajui Ni Kwa Nini Kwa Sababu Jamaa Ni Msafi Sana, Anatupia Kama Kawaida Na pia Ni Handsome Kiasi Chake ila kinachomsibu Ni Kuwa Jamaa Ni Bigwa wa Kukataliwa Na wasichana siku zote kila akirusha voko anachomolewa Ingawa ni mpole na hana shobo wala masifa ya kijinga, Me nashidwa hata cha kumshauri Tafadhalini wakuu nisaidieni ushauri juu ya huyu jamaa angu nini afanye ili kuondokana na tatzo hilo hasa ushauri wa kisaikolojia.
Ni kweli anasoma pia sometmes ni kauzu ntamueleza kuhusu hilo,Jamaa yako inaonyesha anasoma, angekuwa hasomi asinge kataliwa. Jaribu kuw komedy unaweza fanikiwa.
Ni kweli anasoma pia sometmes ni kauzu ntamueleza kuhusu hilo,
Google shemeji.....niko poa na huku ni kwema shem lake miss you sana yani.....hahahahahaha...shemeji umegelezea wapi,mi nikajua unajua Lupela tu!
...marhaba shem lake mie...habari za wewe na za huko!