ushauri engine ya peugeot 504

nzalendo

JF-Expert Member
May 26, 2009
10,640
9,779
wana jf naomba ushauri.....kutokana na kukosekana kwa spea za 504 je? ni engine gani ya kijapani inaweza ku fit ktk peugeot 504?
 
wana jf naomba ushauri.....kutokana na kukosekana kwa spea za 504 je? ni engine gani ya kijapani inaweza ku fit ktk peugeot 504?

Nadhani kuna engine nyingi sana zinazoweza kukaa hapo, chukua zinazokaa wima straight, kama Noah, inategemea kama ni saloon au pick up kwa ukubwa wa cc, itabidi kuchukua pamoja na gearbox yake, km saloon cc1490 inatosha sana, pick up chukua cc2000 (1998cc)
 
Back
Top Bottom