We mbona liongo hivyo unadanganya umma ili ufaidike nini sasa na kama hujui vitu kwa nini unapost ebu tuwekee source kama wewe sio mwongo na mzandiki..!nilikosea sorry ila ni hivi division 3 kuanzia mwaka huu hawaendi chuo kikuu inasemekana ni div1 na div2 tuu ndio watakaokwenda chuo kikuu
Kwa mwaka wa jana (2015/16) program hii
Bachelor of Science in Agricultural and Natural Resources Economics and Business (BScANEB)
(i) Direct Entry (Form V(I) Qualifications Two Principal passes in Agriculture, Economics, Commerce, Geography and Mathematics
Angalizo mwaka jana waliochukuliwa ni either wenye EGM au HGE/BAM tu. Sikuona wa CBG
Kwani mkuu we hujawahi omba ushauriKuuliza watu soko la ajira na usome nini nadhani ni kosa.
Wewe ndiyo upo kwenye nafasi nzuri ya kuamua unataka usomee nini. Ukishachagua, watu ndiyo watakwambia kwa kozi hiyo hauna sifa au la nk.
Wanasema "fanya kile moyo wako unapenda".
nenda ukasome Geology ina soko sana ,though sijui kama watakuchukuaWanajamvi naomba kuleta kwenu course hizi >>>> B.S in forestry, B.S in food science and technology, B.S in agricultural and natural resources economics and business, Environmental science, na Wild life management.
Nimehitimu kidato cha VI mwaka huu mchepuo wa CBG naomba ushauri wenu nisome ipi kulingana na soko la ajira pia uwezekano wa mkopo na ni chuo gani kitanifaa kwa hizo course???
Pia kama una ushauri wa course nyingine tofauti na hizo naomba msaada tafadhali ....
******Mungu akubariki********
Waongo hawadumu ama kweli, DEE ni 15 au 14?nimepata III ya 15 CBG nina DEE
komaa hio ufaulu kwa kiwango cha juu sana, utapata nafasi hata ya kusona nje ya nchi degree..imebid niombe agriculture in general diploma
*** nafac za ualim ziliisha
duuh ivi wewe umzima DEE si tatu ya 14 ya kumi na tano kivipi ...... ata kama una F bam na gsmasomo kama bam na gs nina F wewee vp broo!!!!!