ishu sio mkopo kilichopo ni kwamba chuo kikuu ni lazima uwe na div1 na div2 ukipata div3 ina maana huna sifa za kusoma chuo kikuu achana na swala la mkopo
Inasemekana-nani kasema?nilikosea sorry ila ni hivi division 3 kuanzia mwaka huu hawaendi chuo kikuu inasemekana ni div1 na div2 tuu ndio watakaokwenda chuo kikuu
Kwa mwaka wa jana (2015/16) program hiiWanajamvi naomba kuleta kwenu course hizi >>>> B.S in forestry, B.S in food science and technology, B.S in agricultural and natural resources economics and business, Environmental science, na Wild life management.
Nimehitimu kidato cha VI mwaka huu mchepuo wa CBG naomba ushauri wenu nisome ipi kulingana na soko la ajira pia uwezekano wa mkopo na ni chuo gani kitanifaa kwa hizo course???
Pia kama una ushauri wa course nyingine tofauti na hizo naomba msaada tafadhali ....
******Mungu akubariki********
shukran sana mkuuKwa mwaka wa jana (2015/16) program hii
Bachelor of Science in Agricultural and Natural Resources Economics and Business (BScANEB)
(i) Direct Entry (Form V(I) Qualifications Two Principal passes in Agriculture, Economics, Commerce, Geography and Mathematics
Angalizo mwaka jana waliochukuliwa ni either wenye EGM au HGE/BAM tu. Sikuona wa CBG
Inaonekana kingereza ni shida hizo division chuo gani wametoa hiyo guideline?? kwenda chuo wanaangalia principles and not division.nilikosea sorry ila ni hivi division 3 kuanzia mwaka huu hawaendi chuo kikuu inasemekana ni div1 na div2 tuu ndio watakaokwenda chuo kikuu
Kwa mwaka wa jana (2015/16) program hii
Bachelor of Science in Agricultural and Natural Resources Economics and Business (BScANEB)
(i) Direct Entry (Form V(I) Qualifications Two Principal passes in Agriculture, Economics, Commerce, Geography and Mathematics
Angalizo mwaka jana waliochukuliwa ni either wenye EGM au HGE/BAM tu. Sikuona wa CBG
Subiri matokeo yatoke..Maana unaweza kushangazwa..Wanajamvi naomba kuleta kwenu course hizi >>>> B.S in forestry, B.S in food science and technology, B.S in agricultural and natural resources economics and business, Environmental science, na Wild life management.
Nimehitimu kidato cha VI mwaka huu mchepuo wa CBG naomba ushauri wenu nisome ipi kulingana na soko la ajira pia uwezekano wa mkopo na ni chuo gani kitanifaa kwa hizo course???
Pia kama una ushauri wa course nyingine tofauti na hizo naomba msaada tafadhali ....
******Mungu akubariki********
Hapana ni mdau wa elimu tu.Vipi unasoma kozi hiyo mkuu?
hapana ila ni kujiandaa tu ili wakat wa kuchagua faculty nisipanic
Kwanza subiria matokeo yatoke.
Kuna kozi zingine lazima ufaulu wako uwe vema ndo utachaguliwa. Kwa combination ya CBG nakushauri ukasome food science. Hiyo kozi inatolewa na Sokoine University of Agriculture (SUA). Mkopo utapata.
Hapana ni mdau wa elimu tu.
Licha ya ushauri wako kuwa mzuri bado tunamsisitizia kusubiri matokeo maana anaweza kuwa alimchora admin wa taifa akipiga push up kwenye pepa.. #kidingSoma either nursing or health lab ila health lab ni bugando ndo waweza pata kwa cbg lkn kwa nursing ata muhas unasoma kinyume na hapo hzo kozi zingine zimetelekeza lumbesa la vijana huku mtaan ambao wengi kwa sasa wanagombea kwenda jkt walau wapate ajira,epuka kuwa miongon mwao
Kuuliza watu soko la ajira na usome nini nadhani ni kosa.
Wewe ndiyo upo kwenye nafasi nzuri ya kuamua unataka usomee nini. Ukishachagua, watu ndiyo watakwambia kwa kozi hiyo hauna sifa au la nk.
Wanasema "fanya kile moyo wako unapenda".