Ushauri: Course ipi nzuri ya kusomea kwa mchepuo wa CBG?

Ushauri: Course ipi nzuri ya kusomea kwa mchepuo wa CBG?

Status
Not open for further replies.
Licha ya ushauri wako kuwa mzuri bado tunamsisitizia kusubiri matokeo maana anaweza kuwa alimchora admin wa taifa akipiga push up kwenye pepa.. #kiding

Wakati wa kujiandaa ndio huu. Kama hivi unauliza kuhusu hizi programs zinakupanua uelewa. Majibu yakitoka ndio unafanya uamuzi. Hivi ni vizuri kupata ufahamu kuhusu kile inachofikiria kufanya sasa hivi.
 
Hiyo coz unatakiwa uwe nondo kwel wanaanza 70 wanamaliza kumi
Si kweli hata kidogo naifahamu fika hii course katika hao 70 sio chini ya 60 watamaliza kwa mkupuo wa kwanza wengine kama 5 watachukua zaidi ya miaka 5. Supplementary huwa zipo za kutosha lakini wanaojua kilichowapeleka hufanya itakiwavyo na hujikomboa. Wengi wamemaliza nawe pia sioni kwa nini usimalize.
 
We Subiri matokeo yatoke na ufaulu vizuri hata MD unaweza pata , labda utaratibu ubadilike , mwaka Jana kuna CBG wamepata MD kwenye vyuo private
(WALIO FAULU VIZURI SANA)
 
We Subiri matokeo yatoke na ufaulu vizuri hata MD unaweza pata , labda utaratibu ubadilike , mwaka Jana kuna CBG wamepata MD kwenye vyuo private
(WALIO FAULU VIZURI SANA)
shukran .mkuu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom