bajok
Senior Member
- Jun 6, 2016
- 161
- 72
Wanajamvi naomba kuleta kwenu course hizi >>>> B.S in forestry, B.S in food science and technology, B.S in agricultural and natural resources economics and business, Environmental science, na Wild life management.
Nimehitimu kidato cha VI mwaka huu mchepuo wa CBG naomba ushauri wenu nisome ipi kulingana na soko la ajira pia uwezekano wa mkopo na ni chuo gani kitanifaa kwa hizo course???
Pia kama una ushauri wa course nyingine tofauti na hizo naomba msaada tafadhali ....
******Mungu akubariki********