Ushauri: Condom zinanipunguzia raha nikifanya mapenzi

Ushauri: Condom zinanipunguzia raha nikifanya mapenzi

Kondomu hupunguza asilimia nyingi za raha ya tendo
 
Nenda kavu kavu ila chunga usije zikwa na maliboro[emoji23] [emoji126] [emoji108]
 
Mkuu sio wewe tu. Hazina mzuka. Bora wewe unatumia 40min mimi kwenye ndom ni tabu kukojoa.

Bora nisifanye kuliko kufanya nazo
Waweza badili hata 3 kwa kuishiwa mafuta ila mzigo haumwagi hatar sana.
 
Siwekagi vinyongo...kaitafute nione ukiona kimya ujue sina comment
sasa nilikuambia sababu yule nyoka alikua mwerevu alimgonga hawa na ndo maana uzao wake wa kwanza ulikua na nuksi, kain alimuua abel, kule alikukimbilia alizaa watoto mmojawapo lameki ambae aliua. ndo maana wanasemaga kizaz cha nyoka hapo kuna maana kubwa sana.
na ukitaka kuamin kwamba alikua sio mtoto wa adamu jiulize kwanini wakat kain anapewa adhabu na Mungu na hatimae kufukuzwa adamu hakulalamika?
Pia kwa nini Mungu amlaani hawa kiungo chake cha uzazi isiwe sehemu nyingine?
Kwa nini baada ya adamu kula lile tunda alijitambua yuko uchi? wanawake wana siri sana ndo maana hata mithali inasema tuishi nao kwa akili.
Kwa taarifa yako uzao kati ya mwanadamu na shetani upo.
Wanefili walikua ni binadamu ambao walizaliwa baada ya wanawake kufanya ngono na hao viumbe, walikua ni hatari sana. walikua na nguvu za ajabu, hivyo kusema hawa alizaa na nyoka ambae ni agent wa shetani usione ajabu ni mambo ya kweli.
pitia hii mistari mwanzo 6:1-5, 6:4, hesabu13:33, wakolosai1:13, ufunuo 12:17, yuda1:6, warumi10:13, na wakolosai1:16.
 
Ukipata mwanamke mkapime alafu mjiachie zenu! Condom mateso tu!
vipimo vinaonyesha uongo. unajua vipimo vingi vinaanzaga kusoma baada ya miez mitatu pale immunity inapoanza kushuka kutegemeana na mtu
 
Jaribu kutumia condom brands tofauti tofauti mpaka upate inayo kufaa. Ukitumia condom inayo kubana sana basi kukojoa ni ndoto na pia hizi condom za bure nazo zina punguza sensitivity sana.

Jaribu rough rider,bare back, hot shot nk utapata tu ambayo utakua comfortable nayo. Pia ukipata game target isiwe bao bali kuinjoi the whole process, hii itasaidia ku relax akili yako na kuinjoi show nzima.
naweza sema kuwa ndio japo nitapata raha ila isipo piga bao sitasikia utamu wowote
 
Mkuu punguza ngono
Ukishindwa tumia condom
Alisha imba ney the true boy
Ila hilo tatizo kwangu huwa linatokea pale ninapotafuta bao la ushindi kipnd jike shupa lisha choka tyr
Mrenda huwa umekwisha na mm nna tonge la mwisho
Bas huwa naishia kuchojoa condom tyyuu
Ofcoz condom znanilinda na ukimwi maana mademu wenyewe n vibwengu xn
Mwisho usimuamn mtu hata kama anaonekana muoga

noted
 
Kila nikifanya mapenzi na condom sikojoi/sipati bao mapema naweza fanya hata zaidi ya dakika 40 sioni kitu inafikia stage naona kama najitesa.

Mwanamke huwa ananiangalia kwa hasira hadi naona kero, unakuta uke umeshakua mkavu kabisa lakini dushe bado linakodoa tu.

Kwa kweli condom inapunguza ladha ya tendo.

Hali ikoje kwenu ndugu?

Naogopa UKIMWI, nishaurini nitatue vipi hili tatizo, bado sijaoa najipanga pia ngono siwezi acha na punyeto hainisaidii.
Kama unafanya mapenzi na Mke wako kondom ya nini?
Tatizo lako una wanawake wengi
 
kwl we hamnazo,na mada iliyopita umesema nn? Aisee,we jamaa noma
 
daaah.. ttzo le2 hlo... ila hpa n kjitahd ksaka1 iwe kavu KAVU
 
sasa nilikuambia sababu yule nyoka alikua mwerevu alimgonga hawa na ndo maana uzao wake wa kwanza ulikua na nuksi, kain alimuua abel, kule alikukimbilia alizaa watoto mmojawapo lameki ambae aliua. ndo maana wanasemaga kizaz cha nyoka hapo kuna maana kubwa sana.
na ukitaka kuamin kwamba alikua sio mtoto wa adamu jiulize kwanini wakat kain anapewa adhabu na Mungu na hatimae kufukuzwa adamu hakulalamika?
Pia kwa nini Mungu amlaani hawa kiungo chake cha uzazi isiwe sehemu nyingine?
Kwa nini baada ya adamu kula lile tunda alijitambua yuko uchi? wanawake wana siri sana ndo maana hata mithali inasema tuishi nao kwa akili.
Kwa taarifa yako uzao kati ya mwanadamu na shetani upo.
Wanefili walikua ni binadamu ambao walizaliwa baada ya wanawake kufanya ngono na hao viumbe, walikua ni hatari sana. walikua na nguvu za ajabu, hivyo kusema hawa alizaa na nyoka ambae ni agent wa shetani usione ajabu ni mambo ya kweli.
pitia hii mistari mwanzo 6:1-5, 6:4, hesabu13:33, wakolosai1:13, ufunuo 12:17, yuda1:6, warumi10:13, na wakolosai1:16.
Mbona sasa leo umefafanua vizuri sana? Siku ile ulikuwa na nini?
 
naweza sema kuwa ndio japo nitapata raha ila isipo piga bao sitasikia utamu wowote
Nilishawahi kuwa na tatizo kama hilo lakini baada ya kufanya majaribio na condom za brand tofauti likaisha. Bao napiga japo nachelewa kidogo kuliko nikienda dry.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom