Ushauri: Condom zinanipunguzia raha nikifanya mapenzi

Ushauri: Condom zinanipunguzia raha nikifanya mapenzi

Kila nikifanya mapenzi na condom sikojoi/sipati bao mapema naweza fanya hata zaidi ya dakika 40 sioni kitu inafikia stage naona kama najitesa.

Mwanamke huwa ananiangalia kwa hasira hadi naona kero, unakuta uke umeshakua mkavu kabisa lakini dushe bado linakodoa tu.

Kwa kweli condom inapunguza ladha ya tendo.

Hali ikoje kwenu ndugu?

Naogopa UKIMWI, nishaurini nitatue vipi hili tatizo, bado sijaoa najipanga pia ngono siwezi acha na punyeto hainisaidii.
kama unatumia izo salama sijui not for sale utasubiri sana kama sio bahili anza kutumia condom inayoitwa roughrider au condom yenye quality zaidi ya roughrider(zipo nyingi) af badae utanirejeshea majibu kama utaendelea chelewa kukitupa....ikiwa io hali itaendelea tena ivyoo baas me sina ushauri mwingine tena.... zaidi itabid uende kwa wataalam wa sexual psychology.......
 
Kila nikifanya mapenzi na condom sikojoi/sipati bao mapema naweza fanya hata zaidi ya dakika 40 sioni kitu inafikia stage naona kama najitesa.

Mwanamke huwa ananiangalia kwa hasira hadi naona kero, unakuta uke umeshakua mkavu kabisa lakini dushe bado linakodoa tu.

Kwa kweli condom inapunguza ladha ya tendo.

Hali ikoje kwenu ndugu?

Naogopa UKIMWI, nishaurini nitatue vipi hili tatizo, bado sijaoa najipanga pia ngono siwezi acha na punyeto hainisaidii.


sasa si upige tu wizauti...ngoma itakuwa collateral damage
 
Kila nikifanya mapenzi na condom sikojoi/sipati bao mapema naweza fanya hata zaidi ya dakika 40 sioni kitu inafikia stage naona kama najitesa.

Mwanamke huwa ananiangalia kwa hasira hadi naona kero, unakuta uke umeshakua mkavu kabisa lakini dushe bado linakodoa tu.

Kwa kweli condom inapunguza ladha ya tendo.

Hali ikoje kwenu ndugu?

Naogopa UKIMWI, nishaurini nitatue vipi hili tatizo, bado sijaoa najipanga pia ngono siwezi acha na punyeto hainisaidii.
tafuta vilainishi ili ule kavu..au tafuta olive oil au ky jelly
 
Dah nilidhani hili tatizo la kutokukojoa kwenye ndom ni langu mwenyewe, kumbe wahanga tupo wengi hivi?...wacha nisubiri majibu.
 
Mbona sasa leo umefafanua vizuri sana? Siku ile ulikuwa na nini?
ukisoma mwanzo 1:27 NA MWANZO 2:7, 2:21-22 Utafahamu vitu viwili, sitaki nikufafanulie sana ile we nenda ipitie hiyo mistari utagundua kuna uumbaji wa aina mbili, binadamu wa kwanza halafu wa pili ambao ni adamu na hawa.
pia kain mke wake alitoka wapi? kama sio wale watu wa kwanza waliombwa na wakapewa mamlaka? pia walawi 18:6 Mungu anakataza ndugu wa damu kuwa na uhusiano wa ngono.
Pia kwa nini kizazi cha adamu hawakuorodheshwa watu wote aliozaa ili tujue familia ilivyo panuka hadi kuenea kila kona ya dunia?
basi kama kulikua hamna binadamu wa awali kabla ya adamu, kaini alilala na dada au ndugu zake familia ikaongezeka. na hapo hapo sheria za Mungu zilivunjwa.
 
Mbona sasa leo umefafanua vizuri sana? Siku ile ulikuwa na nini?
huo kain na imani alikua ni mtoto wa shetani sababu hata mwanae lameki aliua, so dhambi ilienea sababu ile damu ni chafu. natumani kizazi cha wanefili unakiju!
hata wakat kain anafukuzwa adamu hakumtetea sana, hi ina dhihirisha hakua wanae.
wanawake wana siri sana ndo maana tunaambiwa tusihi nao wa akili.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom