Ushauri: Condom zinanipunguzia raha nikifanya mapenzi

Ushauri: Condom zinanipunguzia raha nikifanya mapenzi

Punguza chubwichubwi mapenzi ni ufundi sio nje ndani halafu huyo anakushangaa sio kwamba ankuangalia kwa hasira kwakuwa naye ni gogo
 
Mkuu sio wewe tu. Hazina mzuka. Bora wewe unatumia 40min mimi kwenye ndom ni tabu kukojoa.

Bora nisifanye kuliko kufanya nazo
 
Nakushauri husitumie condom dini imekataza
 
We tafta mke tu ndo namna nyengine iliyobaki utatuharibia dada zetu wawe sugu 40min kamoja!! vitatu 40+40+40=120min bado na spending time saa moja 120+60=180
 
Kwa condom labda upate nyapu mpya mpya ila hizi za kawaida lazima utoboe dakika 45 uki pump tu.
 
Kila nikifanya mapenzi na condomu sikuojoi/sipati bao mapema naweza fanya hata zaid ya dakika 40 sioni kitu inafikia stage naona kama najitesa.
Mwanamke huwa ananiangalia kwa hasira hadi naona kero, unakuta uke umeshakua mkavu kabisa lakin abdala bado anakodoa tuu.
Kwa kweli condom inapunguza ladha ya tendo.
Hali ikoje kwenu ndugu?
Naogopa ukimwi, nishaurini nitatue vipi hili tatizo, bado sijaoa najipanga pia ngono siwezi acha na punyeto hainisaidii.
Mshana haya maneno sio yako brazaaa, any way nunua vpimo vya HIV muwe mnapima kabla ya kugegedana condom ni sawa na kusex na rambo,no passion no sweetness
 
Mshana haya maneno sio yako brazaaa, any way nunua vpimo vya HIV muwe mnapima kabla ya kugegedana condom ni sawa na kusex na rambo,no passion no sweetness
Sometimes it's not me[emoji2] [emoji2]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom