Ushauri chadema

JOSEDIZOZ

Senior Member
Joined
Dec 29, 2012
Posts
134
Reaction score
30
Wazee 2015 ni mwaka wetu, nawaomba wadau wa M4C elekezeni nguvu vijijini. Asilimia kubwa ya wapiga kura ipo vijijini na awareness si kama mjini, mjini tumemaliza lakini tuelekeze vijijini ambako magamba hutumia umaskini na uaminifu wa ndugu zetu kuwadanganya kwa khanga, kofia, T.shirts, chumvi, unga na kadhalika. Wananchi wa vijijini waelimishwe kwamba wakija na vitu hivyo wavipokee vizuri sana lakini kwenye kura wawaadhibu vilivyo. Bila hivyo magamba watashinda kwa karne nyingi zijazo.
 
JOSEDIZOZ
cdm acheni kuwapa vijana wa kitanzania viroba
 
Last edited by a moderator:
ndg,hondoa hofu,sasa hivi,zimegawanywa kanda,10,mpango mkakati wa kufika mpaka chumbani,yaani m4c,itapigwa kama dozi,kutwa,x3 kuakikisha bakteria,ccm anamalizwa,
 
JOSEDIZOZ
cdm acheni kuwapa vijana wa kitanzania viroba

walio tufikisha hapa mpaka vijana,wana kunywa viroba ni nani,hao ninyi mnaowaita wanywa viroba,ndio watawa maliza 2015,haaaaaaaa,kweli ulevi wa madaraka ni mbaya sana,sasa mmevimbiwa,madaraka mnaanza kuwatukana vijana,nguvu ya uma sikuzote ni vijana ninyi mnao waita wanywa viroba,lakini walio leta uhuru ninani,kama sio vijana,ccm mwisho wenu umefika,wacha wanywa viroba wachukue nchi yao,mtatafuta shimo la kuingia,2015,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…