Kutokana na muonekano wa kiafya wa muheshimiwa Lowassa nashauri kusitisha kampeni kwa ngazi ya uraisi. Apate muda wa matibabu. Siasa zisipotezee utu wetu! Uhai na thamani ya maisha ya mwanadamu ni zaidi ya siasa.
Kwa jinsi alivyokuwa pale Zanzibar leo kiukweli huyu mtu kama CHADEMA mtaendelea kumpeleka kwenye kampeni mnapata dhambi kwa Mungu serious! Sitishe kampeni kwanza zifanyike taratibu za kihospitali.
Wagombea ubunge wanaweza kuwa wanaendelea kumnadi kipindi ambacho hatokuwepo katika kampeni zao za kila siku.Kuumwa sio jambo mwanadamu analojitakia, JK aliumwa na akalitangazia taifa.
CHADEMA pokeeni ushauri wangu, from humanitarian grounds please!
Naomba nisitafsiriwe vibaya