Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 57,950
- 134,021
Hakika chama kinayumba.Wiki ijayo inaweza kuwa balaa zaidi.Kwa kuwa CCM wamekuwa na mapenzi sana Dr.Slaa na Inasemekana Dr.Slaa kitengo kimemuahidi bilioni nyingi ajitowe Chadema.Mimi sioni haja ya yote hayo na kuharibu hela.Kwa kuwa mnaona Dr.Slaa ni kiboko ya Lowasa,sasa nashauri tengueni uteuzi wa Magufuli na mpeni Dr.Slaa upeperushaji wa bendera ya CCM.