HPAUL
JF-Expert Member
- Jan 18, 2011
- 410
- 567
Nina vifaa vya solar ambayo vinaweza kuzalisha umeme wa Watts 400 ambao unatosha kuanzisha kituo cha Biashara ya kuchaji simu, kuonyesha TV/Video, kinyozi nywele, kuchapa barua na kuingiza miziki kwenye simu. Ushauri ninao omba ni kufahamu kijiji/trading centre ninayoweza kufanya biashara hii hususani ambapo umeme wa TANESCO haujafika kati ya mkoa wa Dar es Salaam au Pwani.