Ushauri: Biashara maeneo ambayo hakuna umeme wa TANESCO

HPAUL

JF-Expert Member
Jan 18, 2011
410
567
Nina vifaa vya solar ambayo vinaweza kuzalisha umeme wa Watts 400 ambao unatosha kuanzisha kituo cha Biashara ya kuchaji simu, kuonyesha TV/Video, kinyozi nywele, kuchapa barua na kuingiza miziki kwenye simu. Ushauri ninao omba ni kufahamu kijiji/trading centre ninayoweza kufanya biashara hii hususani ambapo umeme wa TANESCO haujafika kati ya mkoa wa Dar es Salaam au Pwani.
 
Back
Top Bottom