Hahahaaa we jamaa afanye biashara gani sasa na huo mtajiKwa upande wangu, kwa umri wa miaka 25 sio wa kukaa na kufanya izo biashara kichaa.
Yaani hapa kwanza kapata wapi Mil 1, usikute kwenye kilimo, Bora akomae uko uko.Hahahaaa we jamaa afanye biashara gani sasa na huo mtaji
Dogo Achukue madini hapaYaani hapa kwanza kapata wapi Mil 1, usikute kwenye kilimo, Bora akomae uko uko.
Hizi biashara anazojifariji eti mzunguko upo kisa anawaona wenye maduka "wanapiga Hela" ataumia. Ukiingia kwenye game unakuta hali tofauti.
Sisi mshua alikua anaona daladala kila siku zinajaza abiria akajua biashara nyepesi. Akashauriana na bro wanavuta coaster. Oya game gumu sana, simple ukiwa nje.
Pia umri 25 years unataka ukae tu unasubiria wateja, serious maisha Ya
unatoa taarifa nunusu ili iweje? kama umeamua kumsaidia basi mtajie hzo online services na namna ya kuzifanya au ndo unataka aje DM?. Ukiamua kumsaidia mtu basi andika full information, kama hutaki kusaidia unapita kimya kama hawa wengne walopita kimya hakuna ataekudai.Achana na Biashara za bidhaa, jifunze kutoa online service iyo m1 weka kwenye Matangazo 20m hii hapa kama faida kamili
naunga mkono hojaPia umri 25 years unataka ukae tu unasubiria wateja, serious maisha Yako yooote ukae tu. Ukizeeka je?
Ukiwa hujanywa bia unatema cheche kishenzi π safi sanaYaani hapa kwanza kapata wapi Mil 1, usikute kwenye kilimo, Bora akomae uko uko.
Hizi biashara anazojifariji eti mzunguko upo kisa anawaona wenye maduka "wanapiga Hela" ataumia. Ukiingia kwenye game unakuta hali tofauti.
Sisi mshua alikua anaona daladala kila siku zinajaza abiria akajua biashara nyepesi. Akashauriana na bro wanavuta coaster. Oya game gumu sana, simple ukiwa nje.
Pia umri 25 years unataka ukae tu unasubiria wateja, serious maisha Yako yooote ukae tu. Ukizeeka je?
Muda wa kushauri mwisho tar 20 nikipata mshahara sitaki kushauri ππUkiwa hujanywa bia unatema cheche kishenzi π safi sana