Ushauri aliopewa Lulu kwa Lady jaydee 2009 akiwa na miaka 14!

WA KULAUMIWA ni Wazazi wake kwa malezi ya hovyo. Mtoto tangu 14yrs anaingia Night Clubs anakunywa pombe! Mzazi yupo tu hachukui hatua yeyote, kweli wahenga walisema asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu! Ila kama Mama yake ndiye yule aliyezomea waandishi mahakama ya mwanzo mwaka jana wkt Lulu alipokuwa na kesi nyingine ya jinai hata sishangai mtoto huyu kuharibika na kuingia ktk matatizo kabla ya umri wake
 
Back
Top Bottom