Ushauri: Adhabu gani inamfaa mtu huyu

Status
Not open for further replies.
Msamehe, piga roho konde na jaribu kumsamehe. Sababu wee unapata shida na hicho kitendo, mwenzio anatanua. Siku utakapo msamehe utaona jinsi gani umetua mzigo. Na sio kazi rahisi, lakini kama ukitafuta moyoni mwako jinsi ya kumsamehe utapona hayo matatizo yote. Na sio ajabu hilo jitu linakuona unavyoteseka na kufurahia. Mara nyingi watu wanaotutendea mambo mabaya, wanafurahia yakiwa yanatuumiza. Lakini wakiona unadunda tuu, unaendelea na maisha yako, roho huwa inawauma sana. Tena ukiweza unaenda kabisa kumwambia kwamba kitu ulichonofanyia ni kibaya sana, na kimenitesa kwa muda mrefu, lakini sasa nimekusamehe. Yaliyopita si ndwele, tugange yajayo. Ni-amini, itakua msaada sana kwako. Pole, na nakutakia maisha mema.
 
pole sana.....ila angali na hizo hatua z kumuondoa mana usije ukaoshia jela my friend!.....we still need u!
 
Pole sana. Km ingekuwa mimi ningewaita familia yng yote niwaeleze.... nafikir unaumia sana sababu bado hiyo kitu iko moyoni umeweka siri.... ukikaa na siri utaumia kila siku.... funguka waeleze familia yako na huyo mm yk mkubwa mweleze....
 
Ujui kusamehe.ukilpza kisas ndo bikra itarud.mi nakushaur kampe tena huo mzigo babako mkubwa aufumue vzur
 
Me nimsicha mwenye umri wa miaka 25-30. Kwetu ni kijijini ila kwa sababu ya shule ikanilazimu nije mjini nikawa naishi na ndugu zangu na sasa nina bachelor degree namshukuru Mungu. mimi si mwandishi mzuri samahani kama nitawakwaza.

Katika maisha yangu ya kuishi na ndugu nimepitia natatizo mengi sana ila kuna moja natamani kulipiza kisasi kwa namna inavyoniumiza . wanajamvi najitahidi sana kusahau lakini hii siku sitahisahau kuondolewa usichan wangu bila idhini yangu na mtu ambaye namwita baba mkubwa… wanaume ni ma. M.b.w.a

Nilihamia nyumbani kwa dada wa mama yangu ( ma mkubwa) nikiwa na umri wa 15 nilipoamia tu nyumbani kwake wakati huo nipo form two kwa ajili ya shule sitaki kutaja eneo ni kama miaka 8 sasa, mume wa mama yagu mkubwa akawa ananitaka kimapenzi wakati huo sijui hata mwanaume hapo kanifuatilia mdamrefu sana nIkataa. Kwa akili yangu ya kitoto nilimweleza mam yangu mkubwa mambo anyonifanyia baba nikaishiwa kutukanwa na kutengwa na ndugu pia wakiamini mimi natakakuvunja ndoa yao kama mzee alivowaeleza hapo ndipo mzee akapata nafasi nzuri.

Katika kupambana na hali hiyo siku moja nikiwa likizo naoga ili niende tution akaja akanivizia akanikuta naoga akanibaka . nilipata maumivu makali sana nilikaa kimya bila kumweleza mama yangu mkubwa ni siri yangu nawapa ninyi wnajamii mnisaidie kwa sasa siyo siri tena,

Nilishindwa kumweleza mtu huyo mzee alitengeneza mazingira ya me kukosa msaada hata kwa wazazi wangu kwa kisingizio me ni mvivu kusoma, ki ukweli sikua hivyo, basi ndugu jamaa na marafiki wakaniweka mbali nikiwa nipo mwenyewe sina msaada ndipo alipoweza timiza adhima yake.

Huyu ndiye mwanaume alinitoa bikra kwa ukatili huku nikipigwa na matusi juu mmh wanaume ninyi ni wanyama, tokea wakati huo nimeshakuwa na boyfriend zaidi ya 2 lakini nawaona makatili zaidi pale wanapoomba mzigo najikuta nachukia na nawachukia, pia nikiamua kuwapa basi tu kuondoa kero na sijawahi ona hiyo kitu furaha ya kufanya huo unyama zaidi ni matatizo na kero, tatizo kubwa nalo kutana nalo ni kupata mchubuko wakati wote nao fanya huo unyama. Wanaume nawachukia sana...............

Sasa ni hivi ni adhabu gani naweza mpa huyu mtu moyo wangu uridhike? Adhabu ninayoona inamfaa ni kumwondoa duniani nimeshajaribu mara nyingi nashindwa embu nisaidieni? Nataka nimuone anateseka kama mmimi nilivyoteseka na navyo teseka,….

natanguliza shukrani zangu,,,
Pole sana mummy najua maumivu uliyonayo na MTU mwingine hawezi elewa mpaka uende through hii kitu . Hata mimi yalishanitokea lakini Mimi ni mwanamke ndiye aliyekuwa ananifanyia mchezo hii . naomba umtafute tafadhali. Kumbuka Mimi ni mwanamke pia. Inmeanime please try in your heart to forgive him so you can be free . I love you dear.
 
Love u too dear... i will do my best
 
Mmeitoa wapi hii thread loh
kuna mtu kaipost kwenye sred yako ya leo, kama hii ni kweli, nimekuelewa.

Kwa nini usitafute msaada, unajidhulumu sana nafsi yako. Wanaume ukipata akupendae ni watamu balaa, afu kadri umri wa mwanamke unavyosonga ndo wanajipaka na mayonaise, kama baga za moroco.

Tafuta tiba ya kisaikolojia bana uje tusaidiane kuwala bana.
 
kuna mtu kaipost kwenye sred yako ya leo, kama hii ni kweli, nimekuelewa.

Kwa nini usitafute msaada, unajidhulumu sana nafsi yako. Wanaume ukipata akupendae ni watamu balaa, afu kadri wa mwanamke unavyosonga ndo wanajipaka na mayonaise, kama baga za moroco.

Tafuta tiba ya kisaikolojia bana uje tusaidiane kuwala bana.

Haya nitatafuta tiba niwatafune na hela zao
 
Love u too dear... i will do my best

Nitafute dear kwa maana wote ni waathirika . Lakini mkabidhishe Yesu indie Dr. Pekee. Nilikaa na hii issue kwa muda mrefu sana . I used very hate person. Since I gave my life to Jesus nimeona tofauti. I was Muslim now I'm Christian, and I love being Christian. Since nimekuwa mkristo na kumjua Yesu imenifanya kawa mwepesi kidogo Wa kusamehe , before I wasn't I hated her so much. But not anymore . my dear when you don't forgive him he will take power over you, and devil too takes a chance on that . And I know its not easy , trust me I have been there. And thats why I said no one understanding the pain and darkness we have been through because they never been through this way . Only Jesus dear who understanding us, so come to thee and drink his water so you will never be thirsty again, my love . I pray God to touch you Right and deliver you from that pain you kwenye through in Jesus name, Amen. Be healed dear . I love you my dear, and god blessed you.
 
Amen ... love u too.i will forgive him
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom