Busu la Kenge
JF-Expert Member
- Jun 13, 2025
- 2,310
- 4,205
Mpira unaletaga huzuni na kukata tamaa timu yako inaposhindwa. Pia mpira unaleta furaha na kuchangamsha.
Video hapo chini inamuonesha Mlinzi wa timu ya taifa ya Ufaransa na Liverpool Ibrahima Konate akishangilia goli la Ekitike ambalo baadaye lilikataliwa.
Kilichowafurahisha wengi kwenye mitandao ya kijamii ni jinsi alivyoshangilia kwa kupiga sarakasi zembe.
Licha ya goli hili kukataliwa Liverpool waliibuka na ushindi wa goli moja kwa bila dhidi ya Nottingham Forest lililofungwa na Mccalister dakika za nyongeza.
hydroxo
adriz de mbusii