dah yale madudu yanakera sana, bora wayapige marufuku ai seeeWacheza wa Brazil wamesema ikiwa watashindwa ni kwasababu ya sauti ya mavuvuzela ,wamedai kuwa yatawakosesha raha na kuwapa wakati mgumu wa kufikiria cha kupanga na kuweza kutoa uwamuzi mzuri baina yab wachezaji.
Mi naipenda sana ile style ya ushangiliaji kwa sababu ni unique.
Inapatikana Africa tu.
ndio mkuu ni unique afrika tu,,,ila yanapoteza usikivu kwa sie tu tunaowatch tv/radio
sasa sipati picha apo uwanjani yaweje,labda ingepangwa siku chache tu za mechi wayatumie mayb when SA is playing!!maana wao ndo wameyazoea
aisee yana kelel zinatoa umakini/usikivu kabisaaaaa
vya ukweli tuseme kweli!
What!!!???
Hivi umesoma thread ukaona kuna mtu anaiga wazungu kuchukia hayo mavuvuzela???
Jamani nalitafuta vuvuzela,mwenye kujua yanapouzwa anijulishe.