Ushangiliaji wa ki-Vuvuzela... Je, ni haki kwa wazungu kuupinga huu ushangiliaji?

Inaboa kwa kweli hasa ukiwa nao live uwanjani, mechi yao vs Mexico sikufaidi hata wengine walikuwa bize kupiga vuvuzela kuliko kuangalia mechi, yani waliposawazisha Mexico ikawa utulivu kidogo.

Yani wengi watalalamika mwaka huu inaboa vuvuzela inaumiza masikio, Blatter kamuheshimu Mandela na anawajua angekataza wangegoma kuja uwanjani, mana weusi wa bondeni siasa zimewajaa sana kiasi wanaona kila kitu wao ndio wapo sawa.

Noja wakitoka utaona peupe, mana wapo radhi waone marudio isidingo na generation kuliko Brazil vs Ureno live, kuna sehemu wanaonyesha public lakini wanafungua na kujaa siku Bafanabafana ikicheza tu, wakitolewa viwanja vitakuwa vyeupe.

Ni ulimbukeni na wengi ni sifa tu kushindana kuyapiga, si unajua sifa za kijinga
we acha tu wasouth wana nongwa alafu hawa wenye rangi yetu ni wabaguzi kupita kiasi.
 
Vuvuzela ni mwisho wa Matatizo.

Wafaransa wameshapata kisingizio cha kwa nini hawawezi kushinda. Brazil, Argentina na German hazikuwasumbua kabisa na wakashinda.

Yanaudhi kweli ila kwa sasa yamekuwa kama tondo tundu. WC ikiisha, wengi watayakumbuka.
 
Vuvuzela lazima ije premier league na professional sports zote!!
 
vuvuzela ni mwisho wa matatizo.

Wafaransa wameshapata kisingizio cha kwa nini hawawezi kushinda. Brazil, argentina na german hazikuwasumbua kabisa na wakashinda.

Yanaudhi kweli ila kwa sasa yamekuwa kama tondo tundu. Wc ikiisha, wengi watayakumbuka.

the good thing ni kwamba hakuna world cup iliyowahi kukosa visingizio. The latest, cameron has joined the bandwagon to blame the jabulani ball. Ktk akili ya kawaida lile goli walilofungwa indomitable lions linawezekanaje lilichangiwa na mpira? I will always salute the brit' goalie who just said nah! When asked if the jabulani was a cause for his poor gool keeping.
 
World Cup horn a hit with British shoppers


It's caused more controversy in the World Cup so far than anything on the pitch, and has had many armchair fans reaching for their earplugs.


But it seems the 140-decibel blast of the vuvuzela - the £2 plastic horn that has become the soundtrack to this summer's football festival - could soon be all around us, and we won't even be able to get rid of it by switching off the TV.


Despite many fans claiming the instruments make an unbearable racket, 'vuvu fever' has quickly spread from the stadiums in South Africa to supermarket shelves in Britain.


Sales of the traditional African horn in Sainsbury's have reached one every two seconds. Sainsbury's has already sold 40,000 red vuvuzelas this month at £2 each and says its total stock of 75,000.

Source Daily Mail
 
afadhali kufungwa kwao makelele yamepungua,ila mambo yamekuwa magumu,sasa nimeamini kwanini fifa uwa inambeba mwenyeji angalau raundi ya 2 ili ipate faida na mashindano yasiboe,ila sauzi wazungu wengi walikuwa sio sana wanasapoti sauzi wao wengi wanasapoti rugby na timu ya soka wapo portugal na holland,sasa hivi wanaitwa sio bafanabafana tena bali bananabanana,yani tiketi wanauza hadi tshs 5000 sasa baada ya kuona timu yao haina uhakika wa kuingia second raundi mradi wakanywa bia na nyama.
 
Naona Vuvuzela zimeshapamba moto, Wafaransa mbona leo sura zao zimekuwa ndefu ....mida mida kipute kinaanza. Nilifikiri Ze Bluez wataweka mpira kwapani lakini nawaona kwenye tunnel.
 
Naona Vuvuzela zimeshapamba moto, Wafaransa mbona leo sura zao zimekuwa ndefu ....mida mida kipute kinaanza. Nilifikiri Ze Bluez wataweka mpira kwapani lakini nawaona kwenye tunnel.

Shadow anzisha thread tukachangie
 
Back
Top Bottom