Labda fungeni midomo, tumieni akiliAlafu hawa kina faisal na kibwana walikuwa wanaelewa kweli kinachomaanishwa hapa au walikuwa wanafata mkumbo.
View attachment 2439628
Congo wamezibwa mdomo na US & EU halafu at Rwanda's gun point..kuna picha nimeona sshemuAlafu hawa kina faisal na kibwana walikuwa wanaelewa kweli kinachomaanishwa hapa au walikuwa wanafata mkumbo.
View attachment 2439628
Kumbe congo kuna machafuko?dah.....tunajivunia sana kuwa TanganyikaNi ishara ya kupinga mauaji yanayoendelea kwenye machafuko ya Congo.
Mwaka huu mtavaa chupi kichwani kila kitu mnakasirikaKibwana na fei ni pmvfu sana
HAWAELEWI chochote
Wapo wapo tu...
Kwa lipi hasa????Mwaka huu mtavaa chupi kichwani kila kitu mnakasirika
Utaelewa ikifika May 2023Kwa lipi hasa????
Mtapigwa round ya pili mpk maji muite mmmmaaaaa... nimekaa paleUtaelewa ikifika May 2023
! Nikuite puppy?Mtapigwa round ya pili mpk maji muite mmmmaaaaa... nimekaa pale
Niite kalpana mm sitaki majina ya ubwa wala Nyau! Nikuite puppy?View attachment 2439969
Uko wapi kwaniNiite kalpana mm sitaki majina ya ubwa wala Nyau
Ndo umesikitika hivyo mtani