Ushamba mwingine jamani

Ushamba mwingine jamani

Michigan ya Kisarawe...!!! acha kufunga watu kamba bana..., we mtoto mie nakufahamu umekulia Buguruni kwa binti madenge leo unataka kutudanganya na stori za merekani...!!! waaapi...!!!!!

BV acha vurugu !ni kweli kazaliwa/kakulia B. kwa B.Madenge sasa kaenda tembelea america ya USA ,hutaki nini hapo?
 
Siyo ushamba ni utalii wa ndani next time nenda manzese darajani na ukapige na picha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom