Ushamba mwingine jamani

Ushamba mwingine jamani

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
14,758
Reaction score
9,592
habari wana chitchat

Mwenzenu yaliyonikuta nashindwa hata kuyaelezea hapa
kwani jana ushamba ulinitoka mwenzenu, nilibaki nimeduwaa
na kushangaaa mithili ya nyoka anatoka pangoni jamani,

Acha niwahadithie kidogo, ilikuwa hivi:
Jana nilikwenda kusalimia ndugu na marafiki kule kigamboni
na nillikuwa na hamu kubwa kwani mwaka sijaonana nao.
Kilichonifanya niduwae na kushangaa nilipofika pale
kivukoni mwenzenu, huwaga maeneo yale napita na basi
nikiwa nje sijawahi ona pantoni mwenzenu sijui niko sahihi hapo
vichekesho vinakuja pale tulipokuwa tumeingia ndani kusubiri
pantoni lije, nikiwa na mawazo mengi huku nikichat kwa simu
yangu, vioja sasa vilitokea pale pantoni limekuja jamani
kwani umati wote tuliokuwa pale tulijumuika kuingia ndani wakati
tunaingia ndani yapantoni mara ghafla, ving'ora vilianza kupiga
kutahamaki kumbe ni kiongozi wa nchi anapita ilibidi tumsubiri mkuu
apite kwanza kisha tuingie na kuondoka.

Sasa mwenzenu kilichonishangaza wakati naingiza mguu ndani ya
pantoni si nilishtuka na kutaka kuteleza chini,mpaka mwenzangu wa
kushoto ili acheke kwani aliona huyu dada sasa ushamba wa mwanalumango
umemtokea. Ikabidi anisaidiekwa kunishika mkono, jamani nilipokuwa mle ndani
juu kabisa nikaanza kushangaa nikiona kuwa nami nimepanda meli, na kumbe
pantoni huu ushamba jamani mhm! nikaanza kupiga picha ili leo muone mandhari
ya kivukoni na kigamboni. Nilikupenda ingawaje ushamba ulinikamata,
nikajitabiria kuwa siku moja nitaishi maeneo yale kwani niliyapenda na kuyaizimikia
Hebu nanyi marafiki zangu angalieni mandhari haya yaliyo mazuri na yenye
kuvutia si mnaona wenyewe, Ni ushamba tu ndo ulionifanya nitoe picha hizi
Sasa my friend are you already in the palace? Twanga kitu hapa mwaonaje?
Msinicheke jamani ni ushamba kwani watu wa bara tumezoea NDEGE
ZA FASTJET kwenda mikoani mwetu, hatujazoea hizo meli, pantoni.

Copy: Mentor, Mtambuzi, charminglady, Nicas Mtei, Chimbuvu,
Bakulutu, Madame B, Mr. Rocky, Erickb52, Excellent na
Catherine na marafiki zangu wa jf

kiga 1 tukiwa ndani ya mv kigamboni.jpghaya ni majaabu jamani kiga 3 tukishushwa ng'ambo kigamboni.jpgtukiwa tunaingia pantonini kiga 4 haya ndo maajabu ya Mungu.jpgni maajabu na mandhari mazuri ya kigamboni jamani kiga tukiwa tunaelekea kigamboni.jpgtukiwa tunaelekea kigamboni na mv-kigamboni hapo ila mm niko juu kabisakiga tukiwa tunaelekea kigamboni.jpgzimefanana usishangae na kunicheka best ni ushamba tuu huu
 
Last edited by a moderator:
Pole my dear! Pia hua wanagawa soda moja moja kwa kila abiria!
Ila wiki hii palikua na tatizo nje ya uwezo wao hawajatoa.
Bt wameanza kutoa leo, na wale wote ambao hamkupewa soda zenu mnaruhusiwa mkadai.
Rudia soda yako mpendwa!
 
Asante sana kwa kuja kuntembelea wife...i really enjoyed your company!!!

Karibu tena wikend ijayo...:A S-heart-2:
 
itabidi nikaifuate kweli wanatoaga wewe au unataka kuniingiza ushamba mwingine
Pole my dear! Pia hua wanagawa soda moja moja kwa kila abiria!
Ila wiki hii palikua na tatizo nje ya uwezo wao hawajatoa.
Bt wameanza kutoa leo, na wale wote ambao hamkupewa soda zenu mnaruhusiwa mkadai.
Rudia soda yako mpendwa!
 
te he tehe teheeee thanks too ondoa shaka nitakuja kwani hapo ndo home na ile promise iko palepale usikonde nadhani leo jioni
Asante sana kwa kuja kuntembelea wife...i really enjoyed your company!!!

Karibu tena wikend ijayo...:A S-heart-2:
 
Asante sana kwa kuja kuntembelea wife...i really enjoyed your company!!!

Karibu tena wikend ijayo...:A S-heart-2:

Shem Mentor! Kwanza habari ja mashiku?
Shem mbona hata maintro hatupeani? Haka kakitu kanakoelekea kukukongea mtima wako hatujuzani shem? Kweli shem umenigaya!
 
Last edited by a moderator:
shem tangu ulipomtosa mdogo wangu shem...:crying:

Shem wangu Mentor!
Mbona hilo halikua tatizo from eachother?
Nina maana, mi na dadio tulifunga "INTERIM/TEMPORARY MARRIAGE AGREEMENT"
Whereby durin the period of the marriage, the couple are considered Husband & Wife.
Marriage grants by government the concession to marry a woman for a limited time , in return of recompense!
Both agreed upon in advance.
It's a private and verbal marriage contract btwn a man & unmarried woman.
And there must b declaration and acceptance as in the legal couple.
The length of contract and the amount of consideration must b specified.
Nadhani Dadio atakua alijisahau kuku introduce hii agreement!
Leo nimeona Shem nikupe specific details, ili kama ulibaki na question mark, ziishe leo!
Nway refar ushemeji haufi.
 
Last edited by a moderator:
ukiwa na safari next time nistue twende pamoja nami nikaoshe macho na kutoa ushamba basi ladyfurahia
 
Last edited by a moderator:
Afadhali wewe je mimi nilipokuwa michigan marekani nikatoka kuangalia maghorofa yamefanana kuzunguka nikasahau nimetokea wapi mpaka nilikuja kulipia dola 5 nielekezwe
 
usijali best tutakwenda wote nawe ukasafishe macho yako na kumuona shemejio Mentor kwani hanayajua mavitu ya yangu si unaona anavyonipromise kuwa niende tena kwani ameshanimiss
ukiwa na safari next time nistue twende pamoja nami nikaoshe macho na kutoa ushamba basi ladyfurahia
 
Last edited by a moderator:
pole mpendwa jamani ndo ushamba huo kwani tumeumbwa kushangaa na kuduwaa maajabu ya Mungu jamani sasa ulifanikiwa kufika pale ulipohitaji kwenda best? ningekuwa uko si ningepotea kabisa na ingebidi niwaambie wanioneshe airport ili nirudi home Tanzania
Afadhali wewe je mimi nilipokuwa michigan marekani nikatoka kuangalia maghorofa yamefanana kuzunguka nikasahau nimetokea wapi mpaka nilikuja kulipia dola 5 nielekezwe
 
Afadhali wewe je mimi nilipokuwa michigan marekani nikatoka kuangalia maghorofa yamefanana kuzunguka nikasahau nimetokea wapi mpaka nilikuja kulipia dola 5 nielekezwe
Michigan ya Kisarawe...!!! acha kufunga watu kamba bana..., we mtoto mie nakufahamu umekulia Buguruni kwa binti madenge leo unataka kutudanganya na stori za merekani...!!! waaapi...!!!!!
 
best samahani nimeshindwa kutuma hiyo kitu uliyoomba my love nitakutumia kesho usijali barafu wa moyo wangu najua unafahamu
usiku mwema mwenzio niko kwa maombi leo
shem tangu ulipomtosa mdogo wangu shem...:crying:
 
Acha mwenzenu nile kidogo maana chakula kinapoa karibu msosi wa ndizi, wali na mandondo ya tanga kwa akina Baba V
angalie hapa namlisha my husband Mentor

eating food.jpgona tunavyokula kwa kicheko na furaha huku tukipeana stori za hapa na pale msione wivu tuachane tujiringie kivyetuvyetu au sio kaka Filipo
 
Last edited by a moderator:
Asante sana kwa kuja kuntembelea wife...i really enjoyed your company!!!

Karibu tena wikend ijayo...:A S-heart-2:

Hivi inawezekana vipi mtu na mkewe wakaa mji mmoja na hawajatiana machoni mwaka mzima??
 
pole ladyfurahia ila si ushamba bhana, kila kitu kinamara yake ya kwanza. Mara nyingine utakuwa mjanja
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom