Ushamba mwingine jamani

Ushamba mwingine jamani

Yani wewe kakangu wa hiari una vituko
Pole my dear! Pia hua wanagawa soda moja moja kwa kila abiria!
Ila wiki hii palikua na tatizo nje ya uwezo wao hawajatoa.
Bt wameanza kutoa leo, na wale wote ambao hamkupewa soda zenu mnaruhusiwa mkadai.
Rudia soda yako mpendwa!
 
Wala usifedheheke mwaya. Kuna wapare walienda kwa watu wakapewa soda. Mmoja akaondoka na kisoda mfukoni. Kufij Njiani anamuambia mwenzie nimeiba mbegu nikapande, kitu kitamu sana kile.
 
watu wenye wivu hutawajua tu kwani kukaa mbali kunakuuma nini wewe, kukaa karibu kunakuuma nini sisi ni watu watafutaji wa shekeli hivyo ukiona hivyo ujue tunatafuta kwanza shekeli na ndipo tutumie kwa raha zetu ondoa wivu kaka jamani
Hivi inawezekana vipi mtu na mkewe wakaa mji mmoja na hawajatiana machoni mwaka mzima??
 
ha ha ha ha haaa haaaa haaaaa haaaa jamani mbavu zangu yani umenichekesha vibaya mno yani hapa nilipo kila mtu hapa ofisini ananishangaa kwa kunichekesha jamani!
Wala usifedheheke mwaya. Kuna wapare walienda kwa watu wakapewa soda. Mmoja akaondoka na kisoda mfukoni. Kufij Njiani anamuambia mwenzie nimeiba mbegu nikapande, kitu kitamu sana kile.
 
mwenzangu ndo mambo yaliyonikuta mwenzio kwani natamani kwenda tena, labda mtu anisindikize ndo ntaenda mie au aje mwenyewe laazizi mentor huku bara mm mambo ya pwani siyawezi,
Umenifurahisha lady, usiku mwema
 
Huwa napata tabu sana kung'amua uwezo wa medula oblongata yako...kupanda tu kivuko basi wataka ulimwengu mzima ujue eboh!!!! je ukikutana na kina Mandingo na ukipewa "a horse ride" na kupandishwa vilele vyote ulimwenguni si ndio utawehuka kama mwendawazimu...
Out of 100% from u, 90% are non-sense!!!
Na nilishakuomba usini-quote wala kuni-mention maana huna hadhi hiyo plus wanifanya nipate wakati mgumu kukuelewa...
Hivyo nakuomba tu kiroho safi tu...acha kunifuatilia!!!
Swali hujaulizwa wewe, lakini umekuja haraka kama kojo la asubuhi kutaka kunijibu, dada eenh ningeona umuhimu kukuuliza wewe si ningelekeza swali kwako???
Una nini haswa cha mimi kukuonea wivu wewe??? hebu shika adabu yako tafadhali eenh uwe mstaarabu pale unapoheshimiwa kumbuka unaweza kuwa waongea na baba yako hapa ni vile tu tunatumia haya majina batili.

watu wenye wivu hutawajua tu kwani kukaa mbali kunakuuma nini wewe, kukaa karibu kunakuuma nini sisi ni watu watafutaji wa shekeli hivyo ukiona hivyo ujue tunatafuta kwanza shekeli na ndipo tutumie kwa raha zetu ondoa wivu kaka jamani
 
mwenzangu ndo mambo yaliyonikuta mwenzio kwani natamani kwenda tena, labda mtu anisindikize ndo ntaenda mie au aje mwenyewe laazizi mentor huku bara mm mambo ya pwani siyawezi,
Ha ha ha ha ha ha, atakuja shemeji usijali
 
Huwa napata tabu sana kung'amua uwezo wa medula oblongata yako...kupanda tu kivuko basi wataka ulimwengu mzima ujue eboh!!!! je ukikutana na kina Mandingo na ukipewa "a horse ride" na kupandishwa vilele vyote ulimwenguni si ndio utawehuka kama mwendawazimu...
Out of 100% from u, 90% are non-sense!!!
Na nilishakuomba usini-quote wala kuni-mention maana huna hadhi hiyo plus wanifanya nipate wakati mgumu kukuelewa...
Hivyo nakuomba tu kiroho safi tu...acha kunifuatilia!!!
Swali hujaulizwa wewe, lakini umekuja haraka kama kojo la asubuhi kutaka kunijibu, dada eenh ningeona umuhimu kukuuliza wewe si ningelekeza swali kwako???
Una nini haswa cha mimi kukuonea wivu wewe??? hebu shika adabu yako tafadhali eenh uwe mstaarabu pale unapoheshimiwa kumbuka unaweza kuwa waongea na baba yako hapa ni vile tu tunatumia haya majina batili.
walah simini nikionacho hapa !!!!best mhiii usintolee uvivu hivi ntaacha kuingia jf walah
 
mpendwa kuna watu huwa wanakera sana, anaingilia maongezi halafu anaanza kutoa maneno mbofumbofu wakati deep down unamchukulia kama rafiki...
mpenzi weye hata siwezi kukupa hii risala maana siye waarabu wa Marangu bhanaa

walah simini nikionacho hapa !!!!best mhiii usintolee uvivu hivi ntaacha kuingia jf walah
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom