Ushahidi wa Mwigulu Nchemba kuhusika na EPA huu hapa

Khaaa.......kweli mwamba ngoma ngozi huvutia kwake? Mwigulu, nape Na january ni Vijana makin, ye uwiii.

Ukiona mtu anakuambia mimi nipo wakati unamuona ujue ana wasiwasi na muonekano wake.Ni mtu mwenye matatizo ya kutokujiamini tu anayetambia mali au elimu kunyanyasa wengine.
Heri wingi wa hekima kuliko wingi wa maarifa ,maana marifa bila hekima ni bure.
 
Ushahidi huwa unatolewa Mahakamani tu, tena Mahakama kuu ndio mahali pake hasa, ushahidi wa Waziri mkuu kudanganya mpaka leo umekaliwa, ushahidi wa Reginald Mengi dhidi ya kukashifiwa na Adama Malima Sitta aliishia tu kuseama Malima apewe ushauri nasaha huku mamilioni ya walipa kodi yakiwa yameteketea.

Huu sasa si udhaifu wa JK, na wala si udhaifu wa serikali na wala si udhaifu wa Bunge bali ni udhaufu wa Watanzania kuishi kama misukule na tumegeuzwa midoli na watu wanafanya maamuzi kwa mazoea wakiamini Watanzania ni makondoo wataishia kupiga porojo tu mwisho wa siku maisha yanaendelea.

Am sick & tired na Watanzania kupenda kushabikia mambo ya wenzetu kama Tunisia na Misri wakati sisi hapa ndio tunatiwa vidole mpaka vya matakoni huku tunachekelea tu na kupiga soga mitandaoni!!
Fweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!.....
 
Acha kumdhalilisha January Makamba kwa kumlinganisha na mavuvuzela Nape na Mwigulu.
Mnyika naye sasa amekuwa mropokaji na msahaulifu kama baadhi ya viongozi wake wa CHADEMA!

Mwigulu,Nape na January ambao ni miongoni mwa Vijana makini wa CCM na hazina ya viongozi wakuu wajao wa Taifa hili wamewafanya kina Mnyika na CHADEMA (sema SACCOS) yao sasa kuweweseka!

Tatizo lenu vijana mlioko CHADEMA mnadhani nyie pekee ndio makini,kumbe wengi mnabebwa na upepo tu hamna lolote!
Kwa jinsi hali ilivyo sasa hivi na jinsi Wtz walivyokata tamaa ukiona kijana wa CCM anaongea na kueleweka basi jua ana uwezo mara kumi ya Vijana Waropokaji wa CHADEMA aina ya Mnyika! Eti nalo mtabisha!
 
na wewe unajiona umetoa mchango! mwigulu zaidi ya uzinzi ana umakini gani??aliwahi kupublish hata simple paper yoyote ya uchumi??
 
Mnyika naye sasa amekuwa mropokaji na msahaulifu kama baadhi ya viongozi wake wa CHADEMA!

Mwigulu,Nape na January ambao ni miongoni mwa Vijana makini wa CCM na hazina ya viongozi wakuu wajao wa Taifa hili wamewafanya kina Mnyika na CHADEMA (sema SACCOS) yao sasa kuweweseka!

Tatizo lenu vijana mlioko CHADEMA mnadhani nyie pekee ndio makini,kumbe wengi mnabebwa na upepo tu hamna lolote!
Kwa jinsi hali ilivyo sasa hivi na jinsi Wtz walivyokata tamaa ukiona kijana wa CCM anaongea na kueleweka basi jua ana uwezo mara kumi ya Vijana Waropokaji wa CHADEMA aina ya Mnyika! Eti nalo mtabisha!
Pole sana kaka kama unaamini hivyo!
 
Mbona kazi aliyopewa mheshimiwa Mnyika ni ndogo sana, na itazidi kumuinua sana. Mwenyekiti ametoa tamko bila kuushirikisha ubongo wake, na hii imetokana na kujiingiza katika ushabiki. Mwenyekiti amemwambia mh. Mnyika athibitishe kuwa Mwigulu Lameck Mchemba ni MTUHUMIWA sasa hapo shida ipo wapi? nani atashindwa kufanya hivyo? mbona watu wengi tu wapo mahabusu kama watuhumiwa, watu wengi tu pamoja na sisi tunaojadili hapa tulisha wahi kuwa watuhumiwa. Jambo lingekuwa kuwa gumu kama mh. Mnyika angeambiwa athibitishe kwamba Mwigulu aliiba fedha ya EPA!
 
kama kweli Mnyika ndio anapanga kujitetea kwa nondo hizo, basi hatufai kuwa msemaji wa chama chetu, hatutakuwa tofauti na CCM na Nape wao
 
leo katika bungeni mweshimiwa dk.john mnyika ametuhumu kuwa ndugu mwingulu nchemba ni mtuhumiwa namba mbili wa
ufisadi wa epa....lakini wakati akiongea spika alimsihi akae chini na andaae ushahidi kwa siku saba ili alidhibitishie bunge
source::wapo radio yaliyotkea na tbc live from bungeni
 
subirini mtaficha nyuso zenu hapa JF.Hao waliompa kazi ya kukwapua pesa ndiyo wametoa hivyo vithibitisho.

Mwigulu anasema fedha iliibwa kabla yeye hajaajiriwa mwaka 2006 , huu ni uongo kupita maelezo kwani fedha iliibwa mwaka huo huo yeye alipoajiriwa (fedha iliibwa mwaka wa fedha 2005/2006)

Bank of Tanzania (BoT) External Payment Arrears (EPA)

Cheating firms given more time to return cheated money in Tanzania - People's Daily Online

Bao la kisigino ndio maana anjifanya mchungu kumbe CCM imeshikilia udhaifu wake
 
Mbona kazi aliyopewa mheshimiwa Mnyika ni ndogo sana, na itazidi kumuinua sana. Mwenyekiti ametoa tamko bila kuushirikisha ubongo wake, na hii imetokana na kujiingiza katika ushabiki. Mwenyekiti amemwambia mh. Mnyika athibitishe kuwa Mwigulu Lameck Mchemba ni MTUHUMIWA sasa hapo shida ipo wapi? nani atashindwa kufanya hivyo? mbona watu wengi tu wapo mahabusu kama watuhumiwa, watu wengi tu pamoja na sisi tunaojadili hapa tulisha wahi kuwa watuhumiwa. Jambo lingekuwa kuwa gumu kama mh. Mnyika angeambiwa athibitishe kwamba Mwigulu aliiba fedha ya EPA!

Kila mtu anaweza kutuhumiwa ila kushikwa na hatia ni jambo jingine kabisa
 
Lema alithibitisha kama Waziri Mkuu mtoto wa Peasant ni muongo mbona haikusomwa bungeni hiyo taarifa? Mnyika akishindwa kutoa taarifa sahihi watakimbilia kuisoma ila kwasasa CCM ndio waamuzi wakuu. Taarifa ikimbana Mwigulu basi haitosomwa kamwe.
 
Hiyo simple hapo MWIGULU kaisha kabisa hivyo atapukutika kama moto kwenye petroli
 
Ushahidi huwa unatolewa Mahakamani tu, tena Mahakama kuu ndio mahali pake hasa, ushahidi wa Waziri mkuu kudanganya mpaka leo umekaliwa, ushahidi wa Reginald Mengi dhidi ya kukashifiwa na Adama Malima Sitta aliishia tu kuseama Malima apewe ushauri nasaha huku mamilioni ya walipa kodi yakiwa yameteketea.

Huu sasa si udhaifu wa JK, na wala si udhaifu wa serikali na wala si udhaifu wa Bunge bali ni udhaufu wa Watanzania kuishi kama misukule na tumegeuzwa midoli na watu wanafanya maamuzi kwa mazoea wakiamini Watanzania ni makondoo wataishia kupiga porojo tu mwisho wa siku maisha yanaendelea.

Am sick & tired na Watanzania kupenda kushabikia mambo ya wenzetu kama Tunisia na Misri wakati sisi hapa ndio tunatiwa vidole mpaka vya matakoni huku tunachekelea tu na kupiga soga mitandaoni!!
Fweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!.....

Angalizo kwenye RED: Una maanisha makalio au? Hahahahhah Acha hasira kaka. Tanzania ni zaidi ya wewe unavyoijua.
 
Kwenye hili Mh. Mnyika aka Mh. Washwa washwa akifuata haya majibu ameumia, kwa kweli Mh. Washwa washwa ana kazi ngumu kuthibitisha juu ya Mchemba, kwa sie watoto wa mjini tunasema ameingia choo cha kike aisee

jina la dhaifu linawahusu, majina yenu hayasound mnayojaribu kuwapa wanachadema,. Dhaifuuuuuuu inauza sana
 
tukisema chadema sasa wanapoteza muelekeo hamuelewi..tunaongea ukweli sio kwamba hatukipendi hiki chama... Tatizo wamekuwa walopokaji tu bungeni badala ya kukaa na kuchangia hoja na kutoa mtazamo sahihi wa bajeti kwa maanufa ya umma.. Ukweli binafsi nilikuwa nakupenda chadema ila kimeshaaza nitoka nyoko juu ya hiki chama.. Hv hawa waubunge wingine y msimuige zito kabwe?????.. Yani wamebaki kubwabwaji tu hawana mbele wala hawajijui kwako pale kwa kazi gani. Haya sasa mnyika kalete ushahidi?? Huna??

Huyo Zitto aliwahi kusimamishwa au umesahau?
 
Soma vizuri mada utanielewa.
nilishawaambia zombz ni zoba hili jamaa na ritz ni wale wale wanaponea ccm sisi humu tunapigania ukweli nahili jamaa ni jinga la mwisho sijui liliishia darasa la saba?
 
Back
Top Bottom