Ushahidi wa Mwigulu Nchemba kuhusika na EPA huu hapa

Mnyika naye sasa amekuwa mropokaji na msahaulifu kama baadhi ya viongozi wake wa CHADEMA!

Mwigulu,Nape na January ambao ni miongoni mwa Vijana makini wa CCM na hazina ya viongozi wakuu wajao wa Taifa hili wamewafanya kina Mnyika na CHADEMA (sema SACCOS) yao sasa kuweweseka!

Tatizo lenu vijana mlioko CHADEMA mnadhani nyie pekee ndio makini,kumbe wengi mnabebwa na upepo tu hamna lolote!
Kwa jinsi hali ilivyo sasa hivi na jinsi Wtz walivyokata tamaa ukiona kijana wa CCM anaongea na kueleweka basi jua ana uwezo mara kumi ya Vijana Waropokaji wa CHADEMA aina ya Mnyika! Eti nalo mtabisha!

uharoo, umeongea we kama sio migulu we mbunge wa mtela
 
QUOTE=Musoma;4170840]Mnyika naye sasa amekuwa mropokaji na msahaulifu kama baadhi ya viongozi wake wa CHADEMA!

Mwigulu,Nape na January ambao ni miongoni mwa Vijana makini wa CCM na hazina ya viongozi wakuu wajao wa Taifa hili wamewafanya kina Mnyika na CHADEMA (sema SACCOS) yao sasa kuweweseka!

Tatizo lenu vijana mlioko CHADEMA mnadhani nyie pekee ndio makini,kumbe wengi mnabebwa na upepo tu hamna lolote!
Kwa jinsi hali ilivyo sasa hivi na jinsi Wtz walivyokata tamaa ukiona kijana wa CCM anaongea na kueleweka basi jua ana uwezo mara kumi ya Vijana Waropokaji wa CHADEMA aina ya Mnyika! Eti nalo mtabisha!

Washwawashwa kachemka'kuchamba kwingi lazima tu utayashika m.a.v.I kishayashika washwawashwa
 
Hata yule Mtafiti wa Sayansi na mambo ya anga za juu wa enzi zile Mzee Galileo wa kule Italia alpotoa kauri kwamba Jua ndiyo center ya Solar system walimwona mzush,i mwongo na zaidi anapingana na Mungu muumba wa vitu voye.
Wakamcondem.

Katika kujenga hoja Mnyika yupo 50 years ahead CCM hivyo wanashindwa kumwelewa kwa sababu analeta hoja ambazo CCM hawawwezi hata kuota kwa bahati mbaya.

Hujui maana ya ushahidi.

Mie nilishawaambia, Mnyika ana matatizo ya kichwa, kama mnabisha mtakuja niambia maana siku hizi amebadilika sana, Jee, hatumii vidonge ambavyo kwa sasa ameacha kuvitumia?
 
Mnyika naye sasa amekuwa mropokaji na msahaulifu kama baadhi ya viongozi wake wa CHADEMA!

Mwigulu,Nape na January ambao ni miongoni mwa Vijana makini wa CCM na hazina ya viongozi wakuu wajao wa Taifa hili wamewafanya kina Mnyika na CHADEMA (sema SACCOS) yao sasa kuweweseka!

Tatizo lenu vijana mlioko CHADEMA mnadhani nyie pekee ndio makini,kumbe wengi mnabebwa na upepo tu hamna lolote!
Kwa jinsi hali ilivyo sasa hivi na jinsi Wtz walivyokata tamaa ukiona kijana wa CCM anaongea na kueleweka basi jua ana uwezo mara kumi ya Vijana Waropokaji wa CHADEMA aina ya Mnyika! Eti nalo mtabisha!

upo ktk siku zako eenh?
 
Katika vitu ambavyo vinanifanya niangalie bunge now ni huyu mbunge wa ubungo. Huyu kijana ni sawa na wabunge 200 wa ccm na bravo tu him wachachafye hao ukisimama tu vinyesi vinawabana
 
Mnyika ni mtu makini sana. Ninaamini kabisa anajua alisemalo na ushahidi atauleta bila shaka. Yeyote anayedhani otherwise atakuwa amepotea. Ni dhahiri kuwa Mwigulu alipewa nafasi ya uwekahazina wa wa CCM kwa uhusika wake mkuu wa kukwapua pesa EPA zilizoenda kwenye uchaguzi wa CCM. mwaka 2005 kama 'fungakalomo' - kumfunga mdomo. CCM wamekuwa wakikurupuka kutaka ushahidi utolewe na CDM tu ila wao wakiongea mambo huwa hawahitajiki kuleta ushahidi kama yule anayejiita INJINIA alivyoihusisha CDM na kutekwa kwa Dr Ulimboka jana.

Tatizo ni kwamba ushahidi huu huwa hauruhusiwi kusomwa bungeni na mletaji bali huwa wa kimaandishi na kuishia kwenye makablasha ya spika. Ni mpaka pale wanapoona hautoshi ndiyo hujitokeza kumchukulia hatua aliyeuleta.
Kweli ni makini lakini kwa hili na Nchemba kuwa mtuhumiwa wa EPA, kwa kweli kachemka wakati mwingine hata kama tunampenda mdogo wetu Mh. Mnyika lazima tuwe wakweli pale anapokosea. Ona CV ya Mh. Nchema

Member of Parliament CV
GENERAL
Salutation Honourable Member picture
First Name: Mwigulu
Middle Name: Lameck
Last Name: Nchemba
Member Type: Constituency Member
Constituent: Iramba Magharibi
Political Party: CCM
Office Location: Box 52 Kiomboi, Iramba
Office Phone: +255 878 513446/+255 757 946223
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail: mnchemba@parliament .go.tz
Member Status: Current Member
Date of Birth 7 July 1978

EDUCATION
School Name/Location Course/Degree/Award Start Date End Date Level
Makunda Primary School Primary Education 1987 1993 PRIMARY
Ilboru Secondary School O-Level Education 1994 1997 SECONDARY
Mazengo Secondary School A-Level Education 1998 2000 HIGH SCHOOL
University of Dar Es Salaam Degree (Economics) 2001 2004 GRADUATE
University of Dar Es Salaam Masters(Economics) 2004 2006 MASTERS DEGREE
The East African Uongozi Institute Management 2002 2003 CERTIFICATE

EMPLOYMENT HISTORY

Company Name Position From Date To Date
The Parliament of Tanzania Member - Iramba West Constituency 2010 2015
The Bank of Tanzania Economist I 2006 2010

POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/Location Position From To
Chama Cha Mapinduzi, CCM Member - UVCCM National Meeting 2008
Chama Cha Mapinduzi, CCM Member - National Executive Committee (NEC) 2008
Chama Cha Mapinduzi, CCM Member - District Youth Board 2001

Kumbuka EPA ilikuwa 2005
 
mwigulu nchemba ni mwizi.. Nani asiyejua .. Mnashabikia ccm ccm ccm ni upuuz kushabikia wez
 
Hujui maana ya ushahidi.

Mie nilishawaambia, Mnyika ana matatizo ya kichwa, kama mnabisha mtakuja niambia maana siku hizi amebadilika sana, Jee, hatumii vidonge ambavyo kwa sasa ameacha kuvitumia?

Hapo kwenye red we mtata nini hichi,mbona unaandika kama tumbo linakusumbua ?
 
MUSOMA kweli umechanganyikiwa....Mwigul, Nape na January ni hazina ya viongozi wajao kweli? go and rethink again and again.
 
We gamba lako limekomaa mpaka kwenye ubongo!Umeambiwa bora ukimwi kuliko ccm bado unasema kunahazina siju vijana mbona mgumu kuelewa hivyo?Hata upeleke malaika pale hakuna future kuna Futuhi tu pale!
Mnyika naye sasa amekuwa mropokaji na msahaulifu kama baadhi ya viongozi wake wa CHADEMA!

Mwigulu,Nape na January ambao ni miongoni mwa Vijana makini wa CCM na hazina ya viongozi wakuu wajao wa Taifa hili wamewafanya kina Mnyika na CHADEMA (sema SACCOS) yao sasa kuweweseka!

Tatizo lenu vijana mlioko CHADEMA mnadhani nyie pekee ndio makini,kumbe wengi mnabebwa na upepo tu hamna lolote!
Kwa jinsi hali ilivyo sasa hivi na jinsi Wtz walivyokata tamaa ukiona kijana wa CCM anaongea na kueleweka basi jua ana uwezo mara kumi ya Vijana Waropokaji wa CHADEMA aina ya Mnyika! Eti nalo mtabisha!
 
Zitto peke yake ndio mwenye msimamo CDM, wengine wote ni uharo tu. Na akiondoka hicho chama basi kinakufa.
 
[h=2]Ushahidi wa huyu Msukuma wa Singida upo ulio more genuine than those [/h]
 
tukisema chadema sasa wanapoteza muelekeo hamuelewi..tunaongea ukweli sio kwamba hatukipendi hiki chama... Tatizo wamekuwa walopokaji tu bungeni badala ya kukaa na kuchangia hoja na kutoa mtazamo sahihi wa bajeti kwa maanufa ya umma.. Ukweli binafsi nilikuwa nakupenda chadema ila kimeshaaza nitoka nyoko juu ya hiki chama.. Hv hawa waubunge wingine y msimuige zito kabwe?????.. Yani wamebaki kubwabwaji tu hawana mbele wala hawajijui kwako pale kwa kazi gani. Haya sasa mnyika kalete ushahidi?? Huna??

Ulikuwa una kipenda chadema? Ha ha ha maelezo yako yatosha kuonyesha ww ni mtu wa aina gani na dhamila yako ni nn? Ila pole kwa sababu uenda mpaka saizi ujafanikiwa kusoma alama za nyakati,
 
Rais aliyepo madarakani aliingizwa na fedha za EPA hivyo wote waliopo katika chama chake ambao wanasapoti sera za chama hicho wanahusika indirect,si lazima uwe akina Farajala na mpwa wake ndio uhusike katika wizi huu! Mwinukai you think hard! naona wengi hawakusoma Logic hapa,is not only the matter of The Law of evidence!!!!
 
Mnyika naye sasa amekuwa mropokaji na msahaulifu kama baadhi ya viongozi wake wa CHADEMA!

Mwigulu,Nape na January ambao ni miongoni mwa Vijana makini wa CCM na hazina ya viongozi wakuu wajao wa Taifa hili wamewafanya kina Mnyika na CHADEMA (sema SACCOS) yao sasa kuweweseka!

Tatizo lenu vijana mlioko CHADEMA mnadhani nyie pekee ndio makini,kumbe wengi mnabebwa na upepo tu hamna lolote!
Kwa jinsi hali ilivyo sasa hivi na jinsi Wtz walivyokata tamaa ukiona kijana wa CCM anaongea na kueleweka basi jua ana uwezo mara kumi ya Vijana Waropokaji wa CHADEMA aina ya Mnyika! Eti nalo mtabisha!

Hivi ukiandika hivi...alafu jamaa akaleta ushaidi wa kweli hii post yako utaipeleka wapi??
 
Kweli ni makini lakini kwa hili na Nchemba kuwa mtuhumiwa wa EPA, kwa kweli kachemka wakati mwingine hata kama tunampenda mdogo wetu Mh. Mnyika lazima tuwe wakweli pale anapokosea. Ona CV ya Mh. Nchema

Member of Parliament CV
GENERAL
Salutation Honourable Member picture
First Name: Mwigulu
Middle Name: Lameck
Last Name: Nchemba
Member Type: Constituency Member
Constituent: Iramba Magharibi
Political Party: CCM
Office Location: Box 52 Kiomboi, Iramba
Office Phone: +255 878 513446/+255 757 946223
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail: mnchemba@parliament .go.tz
Member Status: Current Member
Date of Birth 7 July 1978

EDUCATION
School Name/Location Course/Degree/Award Start Date End Date Level
Makunda Primary School Primary Education 1987 1993 PRIMARY
Ilboru Secondary School O-Level Education 1994 1997 SECONDARY
Mazengo Secondary School A-Level Education 1998 2000 HIGH SCHOOL
University of Dar Es Salaam Degree (Economics) 2001 2004 GRADUATE
University of Dar Es Salaam Masters(Economics) 2004 2006 MASTERS DEGREE
The East African Uongozi Institute Management 2002 2003 CERTIFICATE

EMPLOYMENT HISTORY

Company Name Position From Date To Date
The Parliament of Tanzania Member - Iramba West Constituency 2010 2015
The Bank of Tanzania Economist I 2006 2010

POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/Location Position From To
Chama Cha Mapinduzi, CCM Member - UVCCM National Meeting 2008
Chama Cha Mapinduzi, CCM Member - National Executive Committee (NEC) 2008
Chama Cha Mapinduzi, CCM Member - District Youth Board 2001

Kumbuka EPA ilikuwa 2005

Sina uhakika kama unajua wahusika wote wa EPA, na maanisha wakurugenzi na sinior staffs wa makampuni yaliyohusika kuiba fedha zile.

Mfano, mtu kama farjala na Maranda we ulihiisi wangehusika vipi?? hawakuwa viongozi wakubwa kwa CCM, hata kwa maranda, tokea kada wa CCM kigoma ilikuwa sio rahisi kumuhusiha.

Mtaweka vichwa chini baadae, kama mama yenu Makinda asipousoma.
 
Back
Top Bottom