Ushahidi wa Mwigulu Nchemba kuhusika na EPA huu hapa









[h=1]Bank of Tanzania (BoT) External Payment Arrears (EPA)[/h]
repo

In the 2005/6 financial year, the Government of Tanzania lost about US$131 million from the External Payment Arrears (EPA) account held at the Bank of Tanzania (BoT) in what was then described as "dubious payments" to local companies. The EPA account was originally set-up by the Government of Tanzania to help service balance of payments, whereby local importers would pay into the account in local currency and foreign service providers could then be paid by BOT in foreign currency. Due to low foreign currency availability in the 1980s and 1990s, the debt within the account reached $677 million by the year 1999. Efforts under the Debt Buyback Scheme and cancellations negotiated under the Paris Club helped to reduce the debt level to $233 million by 2004.1 Officials at the Bank of Tanzania and businesses took advantage of one of the strategies devised to reduce the account debt, whereby a creditor could endorse debt repayment to a third party.
A special audit by Messrs Ernst & Young discovered that more than $131 million was improperly paid to 22 local firms. It is alleged that all the 22 firms used forged documents to withdraw the external payment arrears on the grounds that they had entered into agreements with external creditors. 2 While thirteen (13) companies used falsified records to claim third party status and received BOT payments, nine (9) companies couldn't substantiate payments they received. Among these, two companies, for example Deep Green Finance, were not even registered by BRELA - Business Registrations and Licencing Agency. Other companies linked to the scheme include Meremeta Gold (a failed joint venture company of the Tanzania Ministry of Defence and South Africa's Trinnex (Pty) Limited), Tangold (state-owned company registered offshore in Mauritius), and Kagera Sugar Co, for which BoT guranteed a syndicated loan from three pension funds and four banks. These companies were owned and operated by some of the most prominent business people in Tanzania. 3
Five major banks colluded in laundering the money (including the National Bank of Commerce - NBC), and in some cases facilitated the opening of offshore accounts. In some cases these banks coordinated with FOREX bureaus by giving out cash to complete transfers. The banks, both local and international, were hiding behind the letters of BoT confirming the transfers to be legitimate, but they violated their own internal code of conduct and international financing regulations. 4 Nine firms received $42 million for which there was no documentation of why they were paid at all. 5 These were G&T International, Excellent Services Ltd, Mibale Farm, Liquidity Service Ltd, Clayton Marketing, Rashtas Ltd, Malegesi Law Chambers, Kiloloma and Brothers and Karnel Ltd. 6 The findings showed that 13 out of the 22 companies were together paid $90 million by using forged documents. These included Bencon International Ltd, VB & Associates, Bina Resorts, Venus Hotel, Njake Hotel & Tours Ltd., Maltan Mining Company, Money Planners & Consultants, Bora Hotels & Apartment, B.V. Holdings, Ndovu Soaps, Navy Cut Tobacco, Changanyikeni Residential Complex, and Kagoda Agriculture Ltd. Kagoda Agricultural Limited got US$ 30.8 million with the knowledge of BOT governor at the time, Dr Daudi Ballali, whom it is alleged acted on instructions from the highest levels of the ruling CCM party. during the tenure of Benjamin Mkapa's government. 7 It is further alleged that Deep Green Finance acted as a shell company established as a conduit for public funds from BoT to undisclosed destinations during the general elections of 2005. 8.
It is estimated that about 70 percent of the $131 million swindled from the EPA account was stashed in foreign banks, mainly in Dubai and Switzerland. The remaining 30 percent was used to buy plots of land in prime areas in Dar es Salaam city, houses, cars and other fixed assets. 9
By August, it was reported that 13 of the firms alleged to have pocketed state funds dubiously repaid US$46.56 million, and were given a deadline of October 2008 to pay up the balance amounting to US$ 8.51 million (TZS 10 billion). 10 In December 2008, it was reported that close to Tsh69.3 billion ($63 million) of the loot was restored under strict secrecy, which the reporters described as proof enough that some crime was indeed committed. 11Since then several of the individual business persons and involved BoT officials have been charged, and the cases are currently in progress at a Dar es Salaam magistrate court. 12

[h=2]Notes[/h]
  1. 'Kikwete sacks his Central bank governor over corruption' (10 January 2008) TZ Common Cents
  2. Xinhua (22 August 2008), 'Cheating firms given more time to return cheated money in Tanzania', http://english.people.com.cn/90001/90777/90855/6483568.html
  3. 'Kikwete sacks his Central bank governor over corruption' (10 January 2008) TZ Common Cents
  4. Daniel Said 'Tanzania: Five Banks Involved in BoT Scandal to Be Sued', East African Business Week (Kampala) (11 February 2008), http://allafrica.com/stories/200802111926.html
  5. Faustine Kapama 'EPA: The sequence of events' Daily News h ttp://dailynews.habarileo.co.tz/sports/index.php?id=8597
  6. Faustine Kapama, ' EPA: The sequence of events' Daily News, http://dailynews.habarileo.co.tz/sports/index.php?id=8597
  7. 'KAGODA: The secret document that ''tells all'', This Day, http://www.thisday.co.tz/News/4913.html
  8. ThisDay, 5 November 2007
  9. Daniel Said 'Tanzania: Five Banks Involved in BoT Scandal to Be Sued', East African Business Week (Kampala) (11 February 2008), http://allafrica.com/stories/200802111926.html
  10. Xinhua (22 August 2008) 'Cheating firms given more time to return cheated money in Tanzania'http://english.people.com.cn/90001/90777/90855/6483568.html
  11. Karl Lyimo (East African) Since mid-2008, 'EPA: Mkapa, Mangula can save Dar from embarassment', (13 December 2008) EPA: Mkapa, Mangula can save Dar from embarassment*- Comment*|theeastafrican.co.ke
  12. East African Business Week (31 January 2009) 'Top BoT officials to appear before court',Airtel launches lower rates for post paid service






 
mwigulu nchemba ni mwizi.. Nani asiyejua .. Mnashabikia ccm ccm ccm ni upuuz kushabikia wez

USHAHIDI MBONA UPO TELE SANA. NAOMBA MHE.MNYIKA ASOME HII KUTHIBITISHA KAMA KWELI MWIGULU NCHEMBA ANAHUSIKA AU LA:
.
DAUDI+BALLALI+1.jpg

Daudi Balali-Former BOT(RIP?)

EPA scandal alone consists of fraudulent payment of about Tshs. 133 billion (US$ 116 million) made by BOT to 22 ghost companies in the financial year 2005/06 involving the payment of the country's external debt.

The late Dr. Daudi Ballali who died in an hospital in Washington DC-USA towards the end of May 2008. His mysterious death is still a subject of debate among most Tanzanians
.

Again the hilly task is the evidence that the ruling Chama cha Mapinduzi (CCM) is said to have been received a substantial amount of money from the EPA account.

According to the source,
CCM being one of the beneficiaries may also be required to pay the taxes as required by TRA. However, reports have it that CCM received the money in the form of donation as it can be done by any individual or company who wants to assist the party.

But what a coincidence-all the 22 companies implicated in EPA, gave a ‘donation' to the ruling party at the time the country was heading for the 2005 general elections
. Although the list includes all the directors of the 22 companies in the EPA scandal, only few names have been mentioned in relation to Richmond and no government official is on the TRA list.

EPA scandal alone consists of fraudulent payment of about Tshs. 133 billion (US$ 116 million) made by BOT to 22 ghost companies in the financial year 2005/06 involving the payment of the country's external debt.

The late Dr. Daudi Ballali who died in an hospital in Washington DC-USA towards the end of May 2008. His mysterious death is still a subject of debate among most Tanzanians.


WIZI WA FEDHA YA EPA ULIGUNDULIWA NA KAMPUNI YA UKAGUZI WA MAHESABU YA ERNST & YOUNG NA WALIWEKA KILA KITU HADHARANI. UKISOMA TAARIFA HII UNAONA KABISA KUWA MWIGULU NCHEMBA HAWEZI KUKWEPA KUPELEKWA KWA PILATO. MAMBO YA KUZINGATIA HAPA NI:


  • NI KWELI ALIMALIZA UDSM MWAKA 2006 NA MWAKA HUOHUO AKAJIUNGA NA BOT. WIZI WA FEDHA YA EPA NAO UMETOKEA KATI YA MWAKA 2005-2006 KIPINDI KILE KILE AMBACHO HUYU MTUHUMIWA MWIGULU NCHEMBA ALIAJIRIWA NA BOT!
  • HALAFU TUNAAMBIWA KWAMBA BENEFICIARIES WA PESA HIYO YA EPA CHAMA CHA MAPINDUZI-CCM NI MMOJAWAPO!
  • HUYU HUYU MWIGULU NCHEMBA LEO NI MWEKA HAZINA WA CCM BAADA YA MWAKA 2010 KUGOMBEA UBUNGE KWA TIKETI YA CCM NA KUSHINDA NA KUKABIDHIWA OFISI YA MWEKA HAZINA WA CCM MPAKA LEO.WHAT A CONCIDENCE?
  • MWIGULU LAMECK NCHEMBA,ECONOMIST-1 TOKA BOT ANA KESI YA KUJIBU KUHUSIANA NA WIZI WA PESA ZA EPA. NINA AMINI HUYU JAMAA HAKUAJIRIWA HIVI HIVI TU PALE BOT,LAZIMA KUNA CONNECTION KATI YA GOVERNOR WA WAKTI HUO NA BAADHI YA WAFANYAKAZI WA BOT.HIVYO NCHEMBA ANAJUA WIZI HUU NA ATAKUWA KWA SEHEMU AMESHIRIKI.

NAWASILISHA





 
Hiyo ni opportunity ya Mnyika kuongea point nyingi sana na watakachofanya watamwambia ampe spika asiseme ushahidi hadharani ili wajadili
 
Ukiongea na watu wasio na akili kwa muda mrefu nawe pia utapungukiwa hizo akili waacheni kina mwigulu na nape kabuli lao 2kumi na5
 
quote=musoma;4170840]mnyika naye sasa amekuwa mropokaji na msahaulifu kama baadhi ya viongozi wake wa chadema!

Mwigulu,nape na january ambao ni miongoni mwa vijana makini wa ccm na hazina ya viongozi wakuu wajao wa taifa hili wamewafanya kina mnyika na chadema (sema saccos) yao sasa kuweweseka!

Tatizo lenu vijana mlioko chadema mnadhani nyie pekee ndio makini,kumbe wengi mnabebwa na upepo tu hamna lolote!
Kwa jinsi hali ilivyo sasa hivi na jinsi wtz walivyokata tamaa ukiona kijana wa ccm anaongea na kueleweka basi jua ana uwezo mara kumi ya vijana waropokaji wa chadema aina ya mnyika! Eti nalo mtabisha!

Washwawashwa kachemka'kuchamba kwingi lazima tu utayashika m.a.v.i kishayashika washwawashwa

kupenda kubaya huko.........
 
Leo hii Bungeni Mbunge wa Ubungo Ameambiwa kuwa alete ushahidi kuhusiana na MWIGULU NCHEMBA kuhusika na EPA. Ili kupata ushahidi unaokidhi neno "kuhusika" inabidi lipate maana sahihi kwa maana inayozoeleka ni kweli MWIGULU NCHEMBA amehusika katika EPA kwa hoja zifuatazo

Mosi kwa kuwa yeye ni mbunge wa CCM, na ufisadi huu umefanywa chini ya uongozi wa CCM ambayo imeshindwa kuchukua hatua madhubuti basi naye anahusika katika hili.

Mbili kwakuwa yeye ni mbunge wa CCM ambaye anatumia muda mrefu Bungeni kuongelea mambo yasiyo ya msingi na kuacha kujadili mambo ya mzingi kama EPA na mengineyo basi naye anahusika ili kukwepesha suala la EPA lisijadiliwe.

Tatu kwa kuwa MWIGULU NCHEMBA ni Mtanzania basi Ameathirika kwa namna moja au nyingine na EPA, kWA shari au baya katika EPA hivyo amehusika katika matokeo ya EPA .

Nne kwa kuwa yeye mwenyewe hata kabla hajaulizwa amehusika vipi na lini? kwa uwizi huo kaanza kusema kuwa yeye amekuwa mfanyakazi wa BOT baada ya Fedha hizo kuibwa hivyo hausiki na ameanza 2006 kazi BOT majibu haya yanatia shaka kwani hata leo mtu anaweza akahusika na EPA kwa mfano kuficha ushahidi, kutumia fadha zilizotokana na EPA nako pia nako kuhusika. Hivyo kuwa Mfanyakazi wa BOT katika mlolongo huo ni dhahiri MWIGULU NCHEMBA kahusika.


Mnyika amekutuma utoe utumbo huu? Unataka kusema waccm wote wanatuhumiwa kuhusika na epa? Au wafanyakazi wote wa BOT ni watuhumiwa wa epa?
Mwache Mh. Mnyika aje atoe ushahidi wake.
 
Mwigulu ni mjinga na limbukeni wa kutupwa. Anapepea Uwaziri. Stella Tomatoes anatoa shukrani kwa ubunge wa kuteuliwa na kupewa zawadi ya mkuu wa mkoa. Tunawafanyia utafiti wa kisayansi hivi karibuni watajuta kwa nini waliingia kwenye siasa.
 
Kwenye orodha ya wale waliofaidika na mgawo wa fedha ya wizi EPA tuna ambiwa ni pa CCM imo.

Serikali hii hii ya CCM imeamua kukaa kimya kila inapoulizwa kuhusu makampuni mawili yenye kuhusiswa na CCM. Makampuni hayo ni KAGODA au KIGODA na DEEP GREEN! Hapa kuna siri kubwa imejificha ambayo Mwigulu Nchemba anaijua hasa hili jina la DEEP GREEN yaani KIJANI ILIYOIVA. Sote tunajua kuwa RANGI YA KIJANI ILIYOIVA INATUMIWA NA CCM KWENYE BENDERA YAO NA MAVAZI YAO. Kama utafanyika uchunguzi wa kina kabisa basi lazima kuna uhusiano wa MWIGULU,BOT na CCM.
 
Mnyika naye sasa amekuwa mropokaji na msahaulifu kama baadhi ya viongozi wake wa CHADEMA!

Mwigulu,Nape na January ambao ni miongoni mwa Vijana makini wa CCM na hazina ya viongozi wakuu wajao wa Taifa hili wamewafanya kina Mnyika na CHADEMA (sema SACCOS) yao sasa kuweweseka!

Tatizo lenu vijana mlioko CHADEMA mnadhani nyie pekee ndio makini,kumbe wengi mnabebwa na upepo tu hamna lolote!
Kwa jinsi hali ilivyo sasa hivi na jinsi Wtz walivyokata tamaa ukiona kijana wa CCM anaongea na kueleweka basi jua ana uwezo mara kumi ya Vijana Waropokaji wa CHADEMA aina ya Mnyika! Eti nalo mtabisha!
Badili jina. Unatuaibisha wana Musoma.
 
Date of Birth 7 July 1978

EDUCATION

Makunda Primary School Primary Education 1987 1993 PRIMARY
Ilboru Secondary School O-Level Education 1994 1997 SECONDARY
Mazengo Secondary School A-Level Education 1998 2000 HIGH SCHOOL
University of Dar Es Salaam Degree (Economics) 2001 2004 GRADUATE
University of Dar Es Salaam Masters(Economics) 2004 2006 MASTERS DEGREE
The East African Uongozi Institute Management 2002 2003 CERTIFICATE

EMPLOYMENT HISTORY

The Parliament of Tanzania Member - Iramba West Constituency 2010 2015
The Bank of Tanzania Economist I 2006 2010

POLITICAL EXPERIENCE
Chama Cha Mapinduzi, CCM Member - UVCCM National Meeting 2008
Chama Cha Mapinduzi, CCM Member - National Executive Committee (NEC) 2008
Chama Cha Mapinduzi, CCM Member - District Youth Board 2001

Hapa kuna neno........yaani mafanikio yake kimaisha yanaanzia 2006.....ajira....NEC(Sijui aliwezaje kubakia mwajiriwa wa BoT huku akiwa mjumbe wa NEC)....Ubunge(Sijui alipata wapi funds za kugombea).....Uhazini CCM(sijui alipata wapi connection za kupata nafasi hii).....maswali ni mengi mno ila lile hekalu kule BOKO mashallah kwa graduate wa 2004 na mwajiriwa 2006!!
 
Hapa kuna neno........yaani mafanikio yake kimaisha yanaanzia 2006.....ajira....NEC(Sijui aliwezaje kubakia mwajiriwa wa BoT huku akiwa mjumbe wa NEC)....Ubunge(Sijui alipata wapi funds za kugombea).....Uhazini CCM(sijui alipata wapi connection za kupata nafasi hii).....maswali ni mengi mno ila lile hekalu kule BOKO mashallah kwa graduate wa 2004 na mwajiriwa 2006!!

Km ndo hivi,lzm aitete ccm
 
Mnyika naye sasa amekuwa mropokaji na msahaulifu kama baadhi ya viongozi wake wa CHADEMA!Mwigulu,Nape na January ambao ni miongoni mwa Vijana makini wa CCM na hazina ya viongozi wakuu wajao wa Taifa hili wamewafanya kina Mnyika na CHADEMA (sema SACCOS) yao sasa kuweweseka! Tatizo lenu vijana mlioko CHADEMA mnadhani nyie pekee ndio makini,kumbe wengi mnabebwa na upepo tu hamna lolote!Kwa jinsi hali ilivyo sasa hivi na jinsi Wtz walivyokata tamaa ukiona kijana wa CCM anaongea na kueleweka basi jua ana uwezo mara kumi ya Vijana Waropokaji wa CHADEMA aina ya Mnyika! Eti nalo mtabisha!
Mtu makini kati ya hao uliowataja (kwa upande wa CCM) - akiongea anaongea points - ni mmoja tu na wewe unamfahamu. Wengine ni wapiga debe/wanajikomba komba tu. Otherwise, ukiwaweka hao wote kwa pamoja, Mnyika yuko juu maana yeye hayuko ndani ya cage au cave kama ile allegory ya mwanafalsafa Plato inavyosema.
 
ukitaka kumjua mwizi, hata kama umemhisi, utaanza kuona anajitete kabla ya kuambiwa jitetee!
 

EMPLOYMENT HISTORY

Company Name Position From Date To Date
The Parliament of Tanzania Member - Iramba West Constituency 2010 2015
The Bank of Tanzania Economist I 2006 2010


Kumbuka EPA ilikuwa 2005

Mkuu nani kasema kwamba ushiriki wa Mwigulu unatokana na yeye kuwa ndani ya BOT tu?. What if wizi huo ndiyo ulifanya yeye aajiriwe BoT 2006 kama ulivyoonesha, ili kumziba mdomo na baadae kuingia kwenye siasa kabisa?. Kina Maranda, Jeetu et al ni wafanyakazi wa BoT wale?. Mnyika knows what he is doing na hakukurupuka kama unavyotaka kutuaminisha.
 
nimeona mtu mmoja apo juu kasema eti NAPE Naye ni kijana makini si kweliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii kakosea njia....hana umakini wowote
 
Back
Top Bottom