Bramo
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 13,255
- 10,248
Dalili za kuvurugwa hizi, ushahidi na UVCCM wapi na wapi.
We ndo umevurugwa, Gamba na Usemaji wa CHADEMA wapi na wapi.
Au unatafuta Shabab CHADEMA ?
Dalili za kuvurugwa hizi, ushahidi na UVCCM wapi na wapi.
ni vizuri hushahidi huo utolewe mapema
CDM ni chama cha nguvu ya umma, mimi ni msemaji wa umma.
Wile GAMBA wewe vumilia tu, mbona ushahidi wa kuchakachuliwa urais wa Slaa mmevumilia?
Ebana umepanic, ngoja uone tume ya kijaji isipoundwa tunauleta ushahidi ulio rekodiwa kwa kitaalamu na mitambo ya kisasa kabisa.
Kamanda, huu ndiyo ushahidi aliousema Mbowe?polisi ndiyo waliouwa watu kwa bomu na risasi za kichina zilizoingizwa na mwigulu...
Mbowe ana lolote hana cha ushahidi wala nini watu hawamjui Mbowe ni msanii sana.
Kamanda, huu ndiyo ushahidi aliousema Mbowe?
thnx mkuu,lakini isichukue muda sana mpaka uzito wa jambo ukapungua!
King Majuto atakuwa anatisha
Watoto wa shule kupata mimba ni viherehere vyao... Kwa hicho kiherehere ulichonacho ungekuwa wa kike wewe sahizi ungekuwa unalea watoto wasiopungua 7
Hili tusi halikuwa na umuhimu hapa, lakini nimekusamehe.
mama yako laikuwa na kiherehere?Watoto wa shule kupata mimba ni viherehere vyao... Kwa hicho kiherehere ulichonacho ungekuwa wa kike wewe sahizi ungekuwa unalea watoto wasiopungua 7
Bawacha sounds hauna jipya.Ukitaka kula lazima uliwe... Hapa tunajua unatafuta kula baba, kazana kupiga domo watoto wahudhurie chooni
Ule ushahidi uliopatikana kwa kutumia vifaa vya kisasa na ambao utaitikisa nchi bado haujatolewa hadi hapo tutakapo ona inafaa kufanya hivyo ni tukiwa na uhakika kuwa rais amegoma kuunda tume ya kijaji. Mwenyezi MUNGU awapunguzie adhabu za kaburi wale wote walipoteza uhai wao kwenye shambulio hili. Peeeeeeeeeopleeeeees power