Ushahidi wa mlipuko wa bomu mkutano wa CHADEMA Arusha

Ushahidi wa mlipuko wa bomu mkutano wa CHADEMA Arusha

Ule ushahidi uliopatikana kwa kutumia vifaa vya kisasa na ambao utaitikisa nchi bado haujatolewa hadi hapo tutakapo ona inafaa kufanya hivyo ni tukiwa na uhakika kuwa rais amegoma kuunda tume ya kijaji. Mwenyezi MUNGU awapunguzie adhabu za kaburi wale wote walipoteza uhai wao kwenye shambulio hili. Peeeeeeeeeopleeeeees power

Ushahidi kwa kesi ipi? au unatuleta porojo hapa, kama ingekuwa kuna kesi inayotambuliwa iliyofunguliwa ungeweza kutamka kuwa ni ushahidi.
 
Napata mashaka sana na utashi wa watu waliopo kwenye hiki Chama, na muelewe kuwa hyo damu mnaoitumia kujinufaisha kisiasa ipo siku itawatokea masabulin,,,,,,,,,,,endeleen na dirty poltics zetu ipo siku tu
Hivi masisiem ndio mmeambiwa na nepi mkiingia kwenye mitandao ya kijamii kwa vi-ipad vyenu vya lumumba basi mtukane mwanzo mwisho!!
Tulieni msiwe na haraka ushahidi utakuja kwa wakati muafaka na pigo moja tu lazima mtafutane kama mlivyokimbia mkutano jangwani baada ya kuutangaza kwa mbwembwe nyiiingi.
 
Ushahidi kwa kesi ipi? au unatuleta porojo hapa, kama ingekuwa kuna kesi inayotambuliwa iliyofunguliwa ungeweza kutamka kuwa ni ushahidi.

Povu linakutoka mkuu, subiri ile mitambo ya kisasa inayorekodi ushahidi ifanye kazi yake. Safari hamtoki kama mlivyotoroka na lori la kura za Slaa
 
Hapo ndio wanapo chemsha kwanini wasike wazi kila mtu akujua
 
Napata mashaka sana na utashi wa watu waliopo kwenye hiki Chama, na muelewe kuwa hyo damu mnaoitumia kujinufaisha kisiasa ipo siku itawatokea masabulin,,,,,,,,,,,endeleen na dirty poltics zetu ipo siku tu
Unajuaje kama ushahidi huo utatolewa The Hague? Maana kuna mwelekeo kuwa wapo viongozi wetu kule mahala kunawaita.
 
huo ushahidi usitolewe sasa ni silaha ya maangamizi 2015
 
huo ushahidi usitolewe sasa ni silaha ya maangamizi 2015

Nakubaliana na wewe. Ni ktk mkakati huo angalau hao polisi wamenaswa. Lakini pia cdm ikidanganyika na hiyo kamata wakautoa ushahidi huo itakula kwao. Wasubili kesi yawaliyokama iendeshwe na ushahidi walionao serkali na ikiendeleza huongo basi ushahidi wa cdm ndo utolewe, tukiwa tunakaribia 2015
 
Hata kama mimi naiunga mkono chadema ila katika hli sizani kama wana huo ushaidi teh teh tutasubiri sana!
 
wakati mwingine tunashindwa kuwaelewa hata chadema.........nanyi mwafanya siasa za matukio.... pakipo mwapoa paliwaka mwawak....
 
Hata kama mimi naiunga mkono chadema ila katika hli sizani kama wana huo ushaidi teh teh tutasubiri sana!

Mkuu BEDO NYALUTOGO endelea kutuunga mkono chama makini, ushahidi tunao ila tunasubiri rais agome kuunda tume ya kijaji. Lakini amini kabisa Mbowe anao huo ushahidi tena ulirekodiwa kwa mitambo ya kisasa kabisa.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom