Ushahidi wa mlipuko wa bomu mkutano wa CHADEMA Arusha

Mnatumia damu za watu kujinufaisha kisiasa! Ushahidi mnataka utolewe kwa lengo la kujipaisha kisiasa! Kuna familia zinepoteza wapendwa wao nyie mnasema tutatoa badae!

ya mwangosi, ushahidi ilitolewa je mmewalipa wahanga, Ally Nzona nae mlimuua kinyama hapo moro ushahidi upo mmewalipa ndugu zake...
 
Nadhani utakuwa umefurahi sasa ewe gamba Nduka ambaye ni mwana ccm mnazi kwa kuanzisha kauzi haka. Anyway kachukue buku 7 kama kawa.

Bwana Komeo unataka kutuhamisha kwenye hoja ya msingi. Hiyo ya buku 7 tumekwisha ijadili sana, kwa sasa tuache tujadili mambo ya msingi.
 
Last edited by a moderator:
CDM ni chama cha nguvu ya umma, mimi ni msemaji wa umma.

Wile GAMBA wewe vumilia tu, mbona ushahidi wa kuchakachuliwa urais wa Slaa mmevumilia?

sema tu ukweli kuwa wewe ni msemaji wa wauza sembe...
 
Last edited by a moderator:
Bwana Komeo unataka kutuhamisha kwenye hoja ya msingi. Hiyo ya buku 7 tumekwisha ijadili sana, kwa sasa tuache tujadili mambo ya msingi.

ya msingi kwasasa ni katiba...
 
Last edited by a moderator:
ya mwangosi, ushahidi ilitolewa je mmewalipa wahanga, Ally Nzona nae mlimuua kinyama hapo moro ushahidi upo mmewalipa ndugu zake...

Tena ushahidi ulitolewa mapema kabisa.
 
Mkuu Wile GAMBA .
Mbona umeingia Kirahisi Mno sana kwenye Mtego wa Gamba Nduka
Ina maana haujui kama Nduka ni Gamba Original ????Lini limevua Gamba lake na kuwa Semaji la CHADEMA TUKUTUKU ameliona na ninashukuru
 
Last edited by a moderator:
Hilo litakua BOMU la kuilipua ccm 2015.dvd zitatagawiwa kila kona
 
Ule ushahidi uliopatikana kwa kutumia vifaa vya kisasa na ambao utaitikisa nchi bado haujatolewa hadi hapo tutakapo ona inafaa kufanya hivyo ni tukiwa na uhakika kuwa rais amegoma kuunda tume ya kijaji. Mwenyezi MUNGU awapunguzie adhabu za kaburi wale wote walipoteza uhai wao kwenye shambulio hili. Peeeeeeeeeopleeeeees power

ushahidi wa video umeyeyuka. Sasa itakula kwenu.
 
Ebana umepanic, ngoja uone tume ya kijaji isipoundwa tunauleta ushahidi ulio rekodiwa kwa kitaalamu na mitambo ya kisasa kabisa.

Kimya kirefu manake hakuna ushahidi wala nini, wajilipue wao halafu video wawashuti wengine, si majanga haya.
 
Ule ushahidi uliopatikana kwa kutumia vifaa vya kisasa na ambao utaitikisa nchi bado haujatolewa hadi hapo tutakapo ona inafaa kufanya hivyo ni tukiwa na uhakika kuwa rais amegoma kuunda tume ya kijaji. Mwenyezi MUNGU awapunguzie adhabu za kaburi wale wote walipoteza uhai wao kwenye shambulio hili. Peeeeeeeeeopleeeeees power

Ni kama TSINURA aliwatungia CHADEMA kale kawimbo nini?
 
Mkuu Bramo umepanic

Sijapanic ila Nawashangaa sana Magamba kujifanya ni Wasemaji wa CHADEMA.
Vp, ya kwenu UVCCM na Kushindwa kumshinikiza Mwenyekiti wenu ku saini Mswada Mmeishia wapi.
Mlikuwa Mnabweka tu kama ma Dog Koko na sasa Mmefyata Mikia
 
Mnatumia damu za watu kujinufaisha kisiasa! Ushahidi mnataka utolewe kwa lengo la kujipaisha kisiasa! Kuna familia zinepoteza wapendwa wao nyie mnasema tutatoa badae!

Rais akifanya kazi rahisi ya kuteua tume ya kijaji kwa urahisi anakabidhiwa ushahidi kwa urahisi,vinginevyo Dr.ataifanya kazi kwa urahisi kama tabia za kigumu zitaendelea.
 
Ebana umepanic, ngoja uone tume ya kijaji isipoundwa tunauleta ushahidi ulio rekodiwa kwa kitaalamu na mitambo ya kisasa kabisa.

polisi ndiyo waliouwa watu kwa bomu na risasi za kichina zilizoingizwa na mwigulu...
 
Sijapanic ila Nawashangaa sana Magamba kujifanya ni Wasemaji wa CHADEMA.
Vp, ya kwenu UVCCM na Kushindwa kumshinikiza Mwenyekiti wenu ku saini Mswada Mmeishia wapi.
Mlikuwa Mnabweka tu kama ma Dog Koko na sasa Mmefyata Mikia

Dalili za kuvurugwa hizi, ushahidi na UVCCM wapi na wapi.
 
Back
Top Bottom