Ushahidi tuhuma za January Makamba

mbona tarehe ya chini ni 6/3/06???? kwan tupo mwaka gani huu??
 
Ukweli siku zote huchelewa lakini unapo fika hubadilisha mchezo kabisa.
 
Ha ha ha ha Mchange rudini Mkajipange upya.
Jamaa anasema kafahamiana na Dada 2009
Barua ina time stamp ya 06 (2006)

Ha ha ha ha a

Si tarehe tu. Barua pia Vincenzo anajiandikia mwenyewe, tangu halafu anasema imepitiwa na Lawyer wake?
 
Hahahahaa sory jaman!!! Kwani tupo mwaka gani? Na hiyo barua mwaka wake vepeeeeeee!!!?
 
Kama umesikiliza "interview" ya J.Makamba nadhani usingeandika haya.Kuna mkanganyiko mkubwa wa mambo
 
Wakihamua =Wakiamua
Hakubali =akubali
Hachia = achia
 
Nadhani hii kesi imeshafungwa!
Hakuna Mlalamikaji na hata huyo shujaa mlipua mabomu (Mange) naye kimya!
Naona jamaa wameshinda vita vya mtandao, hapo starring JPM pekee ndiye yupo huru, lkn waliobaki wameshawekwa mateka!
Hakuna Enzo wala Mange!
Hatuwaombei mabaaya the Makambaz Ila tusubiri tuone!
 
waswahili wabaya sana, wao hawana jema, sasa leo mzungu kawaumbua, wale waliokuwa mishipa imewatoka wapo wapi sasa?.
muogopeni mungu. January Fanya kazi, achana na wajanja wajanja hawa.
Kweli!!!
 
haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! nimecheka sana sjui lema huwa anatapa wap maneno ya vichekesho utadhani mkwerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrreeeeeeeeeeeeeeeeee
Haaaaa haaaaa haaaaaaa
 
Haya mengine anapoteza muda tu.1+1=2.Hakuna sababu ya kutetea upuuzi wakati alishakiri kupokea pesa.Makamba jiondoe tu.Sifa ya kuwa kiongozi huna.
 
kwanini sasa usiweke ushuhuda wako?...KAMA MLIMPOKEA LOWASSA, mtashindwa kuwasema zitto na makamba?...

mange Kimambi yupo Chadema siku hizi??Mnalo hilo.
 
Huu mchezo wa kitoto kabisa, bora wangeacha, yeye demu wake Mwamvita, uhusiano umekwisha, ugomvi na Januaryugomvi upi tena. January anaweza kuwa alikwepa vihunzi vya kuchukua nyumba ya NHC bila kufuata taratibu, inawezekana pia aliruka kihunzi cha kudhaminiwa na raha.comwakati wa kampeni zake za kutaka kuwa mgombea uraisi, lakini katika hiki amekwama na kilichomuumiza zaidi ni kutaka kulifuta haraka haraka sakata hili,kama namuona vile January yuleeeee anamfuata Ali kijiweni
 
Haya mengine anapoteza muda tu.1+1=2.Hakuna sababu ya kutetea upuuzi wakati alishakiri kupokea pesa.Makamba jiondoe tu.Sifa ya kuwa kiongozi huna.
fisadi lowasa ana sifa ya kuwa kiongozi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…