Ushahidi tuhuma za January Makamba

Ha ha ha ha Mchange rudini Mkajipange upya.
Jamaa anasema kafahamiana na Dada 2009 Barua ina time stamp ya 06 (2006)

Ha ha ha ha a
 
Joan
Nenda bonde la Mkwajuni kwa waliovunjiwa nyumba zao halafu uwambie hizo pumba zako
 
Huyo kapewa agizo tu!

Nakumbuka niliwaambia hapa msije kushangaa hata hiyo press confrerence inafutwa.
Mkuu
Barua jamaa kaandika 03/08/06
Yaani 3 years back kabla hajafahamiana na Sista
 
Toa upumbavu wako hapa, mjinga kabisa wewe
 
Jamani.. Hivi hiyo heading ya email ilikuwa ina badilika kila Enzo aki reply? Na je pia jina lake kwenye hiyo contact yake ilikuwa ina badilika kutoka kwa Enzo na kuingia kwa C_vincenzo? Barua imepitiwa na Lawyer.. haina sahihi/ mhuri .. Tarehe fake ya miaka ya Adamu na Eva . Lawyer gani mpuuzi huyo atakubali kuingizwa kwenye ujinga huu? Je akikataa kwamba habari hii hajaiona? Please jamani.
 
The defense lacks logical sequence, it's a lie.
 
Ha ha ha ha Mchange rudini Mkajipange upya.
Jamaa anasema kafahamiana na Dada 2009
Barua ina time stamp ya 06 (2006)

Ha ha ha ha a
haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! nimecheka sana sjui lema huwa anatapa wap maneno ya vichekesho utadhani mkwerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrreeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Makamba akikosa uwaziri atahama CCM
 
I
Iko a bit weird!
Kwa maana hiyo January naye amekanusha kumjua huyo mzungu tapeli?
Si kweli kwamba walipeana pesa?
Hata biashara zao za USD 50k nazo ni porojo?
Si kweli kwamba huyo mzungu hupenda kuunganishwa na viongozi?
Anyway hadi sasa lazima kuna mmoja atakuwa anaudanganya umma wa watanzania!
CCM mmezoea kutumbuliwa na bunge! Serikali huwa inaubavu na watumishi tu, ikifikia zamu ya wanasiasa ni hadi kina "tumbili" wapaze sauti!!
Mtawapa deal tu ukawa, na this time kuna mtu atapatwa na hatia na atatakiwa apate adhabu na sio kujiuzuru pekee!
 
Mkuu hata hizo emails za Neville hazina time stamps.
Eti 2 hours ago
Ha ha ha ha
Unajua unapokuwa mwana Propaganda shurti uwe smart kidogo
 
Wameshamuwahi Vincenzo.

So kesho haongei tena saa nane
 
Hilo Tulisema Mapema Kabisa, Kuwa Huyo Mtu, Lazima Tu Ama Atatishwa Au Kununuliwa, Ila Kama Hilo Suala Ni Kweli, Hawezi Kulikwepa Hata Kidogo!!! UKWELI Utabaki Kuwa Hivyo Na UONGO Utabaki Kuwa Vivyo Hivyo!! Kama Vile Maji Na Mafuta!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…