Ushahidi CHADEMA inatumiwa na TICTS kukwamisha uboreshaji wa bandari

TICTS walipewa kazi ya kuendeleza, kuboresha, na kuendesha shughuli za upakuwaji na upakiaji wa makasha ya mizigo kwenye bandari ya Dar as salaam kuanzia mwaka 2000.

Walipewa magati 08,09,10 na 11 na bandari kavu za kurasini na Ubungo amabo ni 75% ya ukubwa wa biashara ya bandariya Dar es Salaam. TICTS kampuni tanzu ya kampuni ya Hutchison Port Holding Limited (HPH) ya Singapore na imesajiliwa British Virgin Islands Hutchison Port Holding Limited (HPH)nayo ni kampuni tanzu ya CK Hutchison Holdings Limited.

Mpaka sasa TICTS imewekeza USD 100 M kwa kununua kwa kuleta 11 RTGCs (Rubber-tyred Gantry Cranes), 4 Reach stackers, 2 Mobile Harbour Cranes, 17 terminal tractors and 2 empty handlers na ujenzi wa miiundo mbinu. Mh. Nazir Karamagi alikuwa mwenyekiti wa bodi ya TICTS hadi Mei, 2008 nafasi yake ilipochukuliwa na John Meredith.

Mwaka 2017 utendaji wa TICTS uliingizwa kwenye mpango mpya wa kupima ufanisi ili kuona kama unaendena na ushindani wa sasa katika biashara ya bandari. Upimaji ulikuwa wa miaka 5 na ilishindwa kukidhi vigezo na mkataba wake kutohuishwa mwaka 2022.

Wakati TICTS ikitathimiwa, TPA ilianza mchakato wa kupata mbadala na wake na akapatikana DP World. Kupoteza biashara kubwa kama ya kuendesha biashara, TICTS ilitafuta namna ya kuzuia kuja kwa mwendeshaji mwingine ukizingatia kuwa bado wanaendelea na biashara kwenye kipindi cha mpito. TICTS ikawaingiza CHADEMA kwenye vita yao kama askari mamluki.

Mazingiara haya yanaonyesha ndoa ya TICTS na CHADEMA. Kati kati ya mjadala wa DP World, Mdude Chadema na social network worriers wa CHADEMA walipost MEMO ya TICTS ambayo pamoja na kwamba ilikuwa inatoboa hoja yao ya upotoshaji kuwa WAARABU tayari wako bandari ya Dares Salaam, lakini ilikuwa inawasidia kuwaonyesha TICTS kuwa wako kazini wanapambana na kuhalaisha pesa walizolipwa.

View attachment 2689848
Tukio jingine ni kuhuishwa na kuboreshwa kwa +255 Kutoka KATIBA MPYA na kuwa KATIBA MPYA NA OKOA BANDARI ZETU.

Kampeni hii inakwenda kuzindukia Kagera ambako ndiko kwao mhusika wa TICTS anakotoka. +255 ilikuwa imesimama kwa kukosa pesa, tatizo hilo liletatuliwa na pesa za TICTS za kupinga DP World.
Shareholder mkubwa wa TICTS Karamagi ni kada wa CCM. Kama unaposema ni kweli kwa nini hakamatwi. Usiwafanye Watanzania ni mbumbumbu.
 
Adani Ports Advances Global Expansion Plans With Prospective Deal At Dar Es Salaam Port In Tanzania
 
TICTS walipewa kazi ya kuendeleza, kuboresha, na kuendesha shughuli za upakuwaji na upakiaji wa makasha ya mizigo kwenye bandari ya Dar as salaam kuanzia mwaka 2000.

Walipewa magati 08,09,10 na 11 na bandari kavu za kurasini na Ubungo amabo ni 75% ya ukubwa wa biashara ya bandariya Dar es Salaam. TICTS kampuni tanzu ya kampuni ya Hutchison Port Holding Limited (HPH) ya Singapore na imesajiliwa British Virgin Islands Hutchison Port Holding Limited (HPH)nayo ni kampuni tanzu ya CK Hutchison Holdings Limited.

Mpaka sasa TICTS imewekeza USD 100 M kwa kununua kwa kuleta 11 RTGCs (Rubber-tyred Gantry Cranes), 4 Reach stackers, 2 Mobile Harbour Cranes, 17 terminal tractors and 2 empty handlers na ujenzi wa miiundo mbinu. Mh. Nazir Karamagi alikuwa mwenyekiti wa bodi ya TICTS hadi Mei, 2008 nafasi yake ilipochukuliwa na John Meredith.

Mwaka 2017 utendaji wa TICTS uliingizwa kwenye mpango mpya wa kupima ufanisi ili kuona kama unaendena na ushindani wa sasa katika biashara ya bandari. Upimaji ulikuwa wa miaka 5 na ilishindwa kukidhi vigezo na mkataba wake kutohuishwa mwaka 2022.

Wakati TICTS ikitathimiwa, TPA ilianza mchakato wa kupata mbadala na wake na akapatikana DP World. Kupoteza biashara kubwa kama ya kuendesha biashara, TICTS ilitafuta namna ya kuzuia kuja kwa mwendeshaji mwingine ukizingatia kuwa bado wanaendelea na biashara kwenye kipindi cha mpito. TICTS ikawaingiza CHADEMA kwenye vita yao kama askari mamluki.

Mazingiara haya yanaonyesha ndoa ya TICTS na CHADEMA. Kati kati ya mjadala wa DP World, Mdude Chadema na social network worriers wa CHADEMA walipost MEMO ya TICTS ambayo pamoja na kwamba ilikuwa inatoboa hoja yao ya upotoshaji kuwa WAARABU tayari wako bandari ya Dares Salaam, lakini ilikuwa inawasidia kuwaonyesha TICTS kuwa wako kazini wanapambana na kuhalaisha pesa walizolipwa.

View attachment 2689848
Tukio jingine ni kuhuishwa na kuboreshwa kwa +255 Kutoka KATIBA MPYA na kuwa KATIBA MPYA NA OKOA BANDARI ZETU.

Kampeni hii inakwenda kuzindukia Kagera ambako ndiko kwao mhusika wa TICTS anakotoka. +255 ilikuwa imesimama kwa kukosa pesa, tatizo hilo liletatuliwa na pesa za TICTS za kupinga DP World.
Umeandika uharo huna akili kama nape
 
Watu hawaikatai DP WORD.
Ila wanakataa hayo mavipengele ya kuitawala nchi ya Tanganyika badala ya kushuka contena wakianza na Bandari ya Daresalaam.
Hizo Bandari zote za Bahari na Maziwa zinawahusu nini hadi waandike wao ndio wawe wamiliki miaka yote?

DP WORD wanataka pesa zao ili wasitishe huu mkataba.
Kubadilisha hawataki tena.
Wapeni pesa zao mlizozichukua ili kuwahakikishia waitawale Tanganyika.
Nyie akina Msukuma Toroli.

Mumemuingiza chaka rahisi wetu.
 
Back
Top Bottom