Yani acha kbs,
Kwanza nilikua na hofu ya ajabu angekuwa makin angenistukia,
Yan mawasiliano ndio yaliishia pale sikusubutu kupokea simu yake wala kujibu msg,
Alihangaika km wiki hv nae akachoka akapotezea,
Ila alijua kuwa nilimkimbia but hakujua sababu!!!
Umeonaaa eeeh!! Mie siwezi kukubali kuonana na mtu tiiih tiiih tiiih teh teh
dah ID ya DHB mie nilitumia jina la ukweli siwezi hata kuliweka hapa umenikumbusha mtu mmoja alikuwa anaitwa....A...T..A sijui yuko JF
Hahahahaha!Yaani Canta kumbe mmesoma majuzi hivi wakati mnaenda kabisa na simu za mikononi darasani? wenzio tumemalizaga iyo makitu wakati simu za mkononi hazipo kabisa. haya niamkie tena....:A S embarassed:
No sweetie...haijawahi kuorodheshwa kati ya magonjwa yake...so better find a more plausible explanation...
dah .....acha tu........
tena na cyber sex mmeshafanya.....saana
halafu in real life wote mnajulikana kwa kupinga uzinzi....lol
Hahahaha,
Mkuu ishu ya silence ndio style ya maisha yangu aisee,
Hiyo kweli inaweza haribu mpango mzima lol!
Kuna rafiki yangu ana simu yake ya mchina huwa haina silent mode,
Tulikua tukiingia lekcha anaizima na kutoa betrii kbs,
Ikabidi nimuulize kwann anatoa betrii,
Asema hiyo cm hata akiizima mtu akipiga inajiwasha yenyewe na kuanza kuiita na ivo haina silen mode ndio kbs inaharibia pozi,
Nilicheka sana!!
Akishakuamkia mwambie na mimi niko pande hii.....:hat:Yaani Canta kumbe mmesoma majuzi hivi wakati mnaenda kabisa na simu za mikononi darasani? wenzio tumemalizaga iyo makitu wakati simu za mkononi hazipo kabisa. haya niamkie tena....:A S embarassed:
Tena wee ni lazima nikuone.... Jinsi nlivyokutongoza afu ukanikubalia then ukanipiga kibuti....sikubali asee....
Ati?:shock::A S embarassed::hatari::rant:
sweetie you know lakini kua he is sick in his head eeeh?
No sweetie...haijawahi kuorodheshwa kati ya magonjwa yake...so better find a more plausible explanation...
Naaam,Darling Kaizer have I ever lied to you? mimi am thinking ODM is not himself, he has never done this and you know it....
Akishakuamkia mwambie na mimi niko pande hii.....:hat:
Naaam,
Msifikiri nimekuja kuleta amani miongoni mwenu, nimekuja kuleta upanga.
Naaam,
Msifikiri nimekuja kuleta amani miongoni mwenu, nimekuja kuleta upanga.
Ujumbe umenifikia tena kwa wakati muafaka,Akishakuamkia mwambie na mimi niko pande hii.....:hat:
Ndio maana ni bora kuto onana kabisa! lol
mbona kama unanitonesha kidonda? Ilinitokea hii, sitaisahau. Ila nimeapa sintakuwa tayari kukutana na yeyote
Best option...mwanaume niliye na mpango wa kuonana nae au ninayeona kuna umuhimu huo siwezi flirt nae...
heshima juu coz i have a purpose of getting to know him better in real life and not PM's or posts!
Rubuye hukuuliza jina na ukoo na ametokea wapi na wazazi wake ni nani na nani kabla ya kufunuana nguo
haya mambo ya kwenda mitaa ya home halafu unajipachika sehem eti kupoteza maboya ni mbaya sana
Hivi wewe ulitaka kuharibu au uliharibu kabisa???nimeshtuka sana mkuu as bado kidogo tu niharibu na mdogo wa mama angu mdogo niaka fulani hivi>those days nilikuwa active kwenye game na nilifika kwenye mji wanakoishi hao ndugu zangu,nikakaa nje ya home kwa siku mbili kwanza nile raha(mzee wangu ni mtu mgumu kidogo)....mawindo ya siku hiyo yalinasa kifaa cha haja na we spent some time tukiwa faragha ila sikuchakachua as sikuwa na 'dawa ya penzi'.ila tuli-fore play na kila kitu.tukapanga kuonana kesho yake.ucku nikaenda home kama ndio kwanza nimefika.watu wote wako sebuleni mgeni kaja.nimeoga na kula,kabla ya kulala mama mdogo anaagiza aitwe mtu mmoja tutambuane(alikua chumbani kwake)..........ile anatokea tunagongana macho...eti ' baba huyu nae ni mama yako mdogo japo ni mdogo kwa umri...karibu sana'...ardhi ilileta tu mgomo kufunguka inifukie ila nili-wish!!
Kwakweli yule ilikuwa toomuch jaman,mwenyewe alijitupiaaa kwa ajili ya kukuona wewe ukamtoroka lol
Ila kwa hii thred nimejifunza kitu
Hivi wewe ulitaka kuharibu au uliharibu kabisa???
Pole sana aisee...